Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Ni hobbies tuMtu anahatarisha maisha yake na huku akitumia karibu mil 600 kwenda kuangalia screpa la titanic,aisee wazungu[emoji1373]
SinaLink..
Wanasema labda muujiza utokee wawe wamepunguza matumizi ya Oksijeni lakini inavyoonekana ni RIP 🙏🏿Mpaka muda huu watu waliokuwepo ni Rest in peace maana masaa ya oxygen yameisha.
Sio kwamba wamechukuliwa umasonini waka jenge tena huko manyambizi makubwa makubwa!!?Ndo eneo Ma FreeMason wanaishi..!
Sasa mbona hajatoa msaada wa kuipata ile ndege ya malysia halafu kuna submarine ya russia ikiwa na wanajeshi iliwahi kunasa chini russia akashindwa itoa. Fuatilia Kursk disaster. US wakasema wanaweza kuipa msaada wa kuiibua akagoma hao wajeda wakafia humo humo.Ni kiburi chao tu hao US na Canada. Wangeomba msaada Russia hii ishu ingekuwa imeisha ndani ya 24hrs.
Nakumbuka ile Drone ya US iliyoangushwa na Russia juzi juzi hapa na ikazama huko chini ya bahari.
Russia ilimchukua masaa yasiozidi 12 kui locate, kui-ibua na kuondoka nayo.
Vitu vingine wawe wanaomba msaada tu.
Washadanja na chombo kilivyo hata kingeibuka chenyewe hawawezi kutoka kiko bolted kwa nje so assume kikaibukia mahali kama hakijapatikana watabak humo oxygen mpaka inaishaWanasema labda muujiza utokee wawe wamepunguza matumizi ya Oksijeni lakini inavyoonekana ni RIP 🙏🏿
View attachment 2665404
Ila bandarini wasije🤣🤣Bora wangekuwa wanakuja Serengeti na Ngorongoro
Hata masikini pia wanakufa kwenye mabasi na vyombo vingine vya usafiri.Bilionea fedha zake ndiyo zinaenda kumuua....99 hrs tangu J2 hazijaisha kweli?