Tetesi: Nyambizi za Urusi zenye makombora ya nyuklia zapelekwa kwenye eneo la maji karibu na Marekani

Sawa kwa hiyo habari za kuaminika zote hutokea nchi za magharibi,ambazo huwa sio propaganda.
 
jamani muelewe kwamba kuna bahari ya kimataifa(bahari huru),mtu yeyote anaweza peleka meli zake,hata USA ana meli zake huko china ukanda wa bahari huru,hata urusi ana nyambizi huko USA,katika ukanda wa bahari huru,miaka mingi tu huwa zina survey huko..na sio siri,zinapishana na za USA huko bahari kuu(international water.)
View attachment 2104106
 
Shihi kabisa
 
Sawa kwa hiyo habari za kuaminika zote hutokea nchi za magharibi,ambazo huwa sio propaganda.

Wewe unavyoona habari nzito kama hiyo, mtandaoni unapata source ni moja tu?

Pia hakuna coverage yoyote toka vyombo vya habari vikubwa kama BBC, CNN, SkyNews,Rai,CCTV etc
 
Kumbu kuwa hai maanishi marekeani hawajaweka nyambizi stand by lazma na marekani atafanya hivyo kwenye eneo lake la maji na hivyo hivyo kila hatua yeyote atakae chukua na mwenzake hivyo, hizi ni military tactics n procedures.TUSUBIRI NANI ATATUNGULIWA WA KWANZA KATI TA UKRAIN, AMERICA NA URUSI, HII NDO HABARI mengine ni nyimbo za kawaida
 
Wewe unavyoona habari mzito kama hiyo, mtandaoni unapata source ni moja tu?

Pia hakuna coverage yoyote toka vyombo vya habari vikubwa kama BBC, CNN, SkyNews,Rai,CCTV etc
Unadhani Urusi kama kweli wamepeleka hizo nyambizi huko America wangependa dunia ijue au ingekua ni siri yao?
 
Wewe unavyoona habari mzito kama hiyo, mtandaoni unapata source ni moja tu?

Pia hakuna coverage yoyote toka vyombo vya habari vikubwa kama BBC, CNN, SkyNews,Rai,CCTV etc
hao unaotaka watoe covarage ndio walosema saddam anasilaha za sumu ulishawahi kuziona
 
Taarifa za uongo, US siyo Somalia uwapelekee nyambizi afu wakuangalie tu, kichekisho nyingine ni ati US hawawezi kuziona.
Yap, wanaweza wasizione, hata crisis ya wakati hule Russia wameweka makombora ya nyukilia Cuba, kulikuwa na nyambizi za kirusi zilikuwa chini kabisa ya bahari, wakisubiri order wapige marekani, kipindi hicho ndo kungetokea Vita kuu ya tatu ya dunia, na hiyo ndo ilipelekea hata John Kennedy raisi ya America kupigwa risasi kichwani na watu wake ndani ya system ya CIA. Aliyemupiga risasi naye alipigwa risasi asitoe Siri mpaka leo imebaki conspiracy theories za kuuwawa kwake.
 
Ili kuwe na heshima ni bora US na washirika wake wafanye ambush kwa kumtoa Putin na kumshambulia silaha zake maeneo yote Duniani Ili kuzuia kuweza kujibu, vinginevyo watakuwa too late.

Sifagilii vita by the way.
 
Eti hali ya usalama wa dunia! Kwan America na Urusi ndo dunia? Hicho ni kipande tu cha dunia ndo hakiko ktk usalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…