PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.

Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania ustawi wa watu wake.

Katika mazingira ambayo kuna changamoto nyingi sana za ugumu wa maisha hasa kwa watumishi wa umma, leo tuambiwe hawana cha kumwambia rais!?

Nchi yetu itapoteza wataalamu wetu wazuri ili wakapiganie maslahi mazuri mahali oengine na sisi kubaki na vilaza na wale waliochoka.

Tukumbuke kwamba dunia ni Kijiji kama tuna mtaalamu hapa na kwa utaalamu huo ataenda mahali pengine akapata maslahi Bora zaidi ni wazi hatutamfaidi.
 
Huenda amesema hivyo Kwakuwa wakimuambia hakuna positive response hivyo wanamuacha waseme wenyewe
 
Hii nchi bora ingegeuzwa tu na kuwa pori la kufugia ng'ombe kuliko kuwa na binadamu wenye akili kama huyo Katibu wa TUCTA.
Katibu wa Mama TUCTA😏👇
1000031577.jpg
 
Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.

Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania ustawi wa watu wake.

Katika mazingira ambayo kuna changamoto nyingi sana za ugumu wa maisha hasa kwa watumishi wa umma, leo tuambiwe hawana cha kumwambia rais!?

Nchi yetu itapoteza wataalamu wetu wazuri ili wakapiganie maslahi mazuri mahali oengine na sisi kubaki na vilaza na wale waliochoka.

Tukumbuke kwamba dunia ni Kijiji kama tuna mtaalamu hapa na kwa utaalamu huo ataenda mahali pengine akapata maslahi Bora zaidi ni wazi hatutamfaidi.

Na ndipo sasa kama kweli anakubalika, si twende uchaguzi wa haki? Kwani kumbe shida nini?
 
Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.

Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania ustawi wa watu wake.

Katika mazingira ambayo kuna changamoto nyingi sana za ugumu wa maisha hasa kwa watumishi wa umma, leo tuambiwe hawana cha kumwambia rais!?

Nchi yetu itapoteza wataalamu wetu wazuri ili wakapiganie maslahi mazuri mahali oengine na sisi kubaki na vilaza na wale waliochoka.

Tukumbuke kwamba dunia ni Kijiji kama tuna mtaalamu hapa na kwa utaalamu huo ataenda mahali pengine akapata maslahi Bora zaidi ni wazi hatutamfaidi.

Go7H-jRWYAAQi-6.jpeg
 
Back
Top Bottom