PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yaani kuna usumbufu mkubwa sana hasa kwa mtu unapostaafu.
Eti mtu unafanya kazi miaka yote alafu tarehe yako ya kustaafu inajulikana alafu mwisho wa siku wakati wa kustaafu unaanza kuzungushwa hadi ukate tamaa.
Zaidi ya hayo hiyo pensheni yenyewe unapigwa kikokotoo hii nchi Ina maudhi mengi sana sijui ni nani atakuja kuikomboa.
Alafu anakuja hapa rais anatuambia hana cha kuiambia serikali
Asante sana The philosopher. Serikali inatakiwa kuliangalia haki ya wastaafu. Hivi kama mtumishi akistaafu Kwa haki.je si apewe haki yake yote? Kama wabunge wanapewa pensheni yote,ni Kwa nini wampigie kikokotoo mfanyakazi wengine? . Kama Tumaini Nyamhokya haoni hilo basi viatu alivyovaa havimtoshi.
 
Back
Top Bottom