ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Hakuna Nchi ya kuongeza salary Kila mwakaHuyo Rais wa TUCTA huenda atakuwa ni bwabwa la kijani.
Hana akili timamu.

Hii nchi bora ingegeuzwa tu na kuwa pori la kufugia ng'ombe kuliko kuwa na binadamu wenye akili kama huyo Katibu wa TUCTA.
Kwani yeye ni mwajiriwa au mwajiri hata aseme hamna madai? Au yapo ila kayazika kwa manufaa ya nanii!Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.
Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania ustawi wa watu wake.
Katika mazingira ambayo kuna changamoto nyingi sana za ugumu wa maisha hasa kwa watumishi wa umma, leo tuambiwe hawana cha kumwambia rais!?
Nchi yetu itapoteza wataalamu wetu wazuri ili wakapiganie maslahi mazuri mahali oengine na sisi kubaki na vilaza na wale waliochoka.
Tukumbuke kwamba dunia ni Kijiji kama tuna mtaalamu hapa na kwa utaalamu huo ataenda mahali pengine akapata maslahi Bora zaidi ni wazi hatutamfaidi.
Ila chawa ni wakuongezewa kwa kila tukio la kuumiza mpinzani au kiteka kipiga kizushia kesi au kutupa porini ama?Hakuna Nchi ya kuongeza salary Kila mwaka
Kama chawa gani walioongezewa ?Ila chawa ni wakuongezewa kwa kila tukio la kuumiza mpinzani au kiteka kipiga kizushia kesi au kutupa porini ama?
Nonsense👿Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.
Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania ustawi wa watu wake.
Katika mazingira ambayo kuna changamoto nyingi sana za ugumu wa maisha hasa kwa watumishi wa umma, leo tuambiwe hawana cha kumwambia rais!?
Nchi yetu itapoteza wataalamu wetu wazuri ili wakapiganie maslahi mazuri mahali oengine na sisi kubaki na vilaza na wale waliochoka.
Tukumbuke kwamba dunia ni Kijiji kama tuna mtaalamu hapa na kwa utaalamu huo ataenda mahali pengine akapata maslahi Bora zaidi ni wazi hatutamfaidi.
Wanaoonyesha kiherehere zaidiKama chawa gani walioongezewa ?
Wafanyakazi wanakamuliwa mishahara yao na kukatwa tozo ili kuwalipa hawa walafi na matapeli wa TUKTA etc - eti ni chama cha wafanya kazi - ULAJI TUHii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.
Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania ustawi wa watu wake.
Katika mazingira ambayo kuna changamoto nyingi sana za ugumu wa maisha hasa kwa watumishi wa umma, leo tuambiwe hawana cha kumwambia rais!?
Nchi yetu itapoteza wataalamu wetu wazuri ili wakapiganie maslahi mazuri mahali oengine na sisi kubaki na vilaza na wale waliochoka.
Tukumbuke kwamba dunia ni Kijiji kama tuna mtaalamu hapa na kwa utaalamu huo ataenda mahali pengine akapata maslahi Bora zaidi ni wazi hatutamfaidi.
Wafanyakazi wanahitaji kupewa 💯 ya pensheni wanapostaafu kazi. Je, TUCTA hawajui hilo?Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.
Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania ustawi wa watu wake.
Katika mazingira ambayo kuna changamoto nyingi sana za ugumu wa maisha hasa kwa watumishi wa umma, leo tuambiwe hawana cha kumwambia rais!?
Nchi yetu itapoteza wataalamu wetu wazuri ili wakapiganie maslahi mazuri mahali oengine na sisi kubaki na vilaza na wale waliochoka.
Tukumbuke kwamba dunia ni Kijiji kama tuna mtaalamu hapa na kwa utaalamu huo ataenda mahali pengine akapata maslahi Bora zaidi ni wazi hatutamfaidi.
Hivi neno 'Rais' ni kama sielewi vizuri linatumikaje hapa tz, au labda ni neno linamaanisha kiongozi yoyote tu?Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.
Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania ustawi wa watu wake.
Katika mazingira ambayo kuna changamoto nyingi sana za ugumu wa maisha hasa kwa watumishi wa umma, leo tuambiwe hawana cha kumwambia rais!?
Nchi yetu itapoteza wataalamu wetu wazuri ili wakapiganie maslahi mazuri mahali oengine na sisi kubaki na vilaza na wale waliochoka.
Tukumbuke kwamba dunia ni Kijiji kama tuna mtaalamu hapa na kwa utaalamu huo ataenda mahali pengine akapata maslahi Bora zaidi ni wazi hatutamfaidi.
Unaongelea nchi gani labda kwa sababu katika taifa lolote kwa kadri uzalishaji unavyoongezeka waajiriwa huongezewa maslahi sijui ww unaongelea uzoefu wa taifa ganiHakuna Nchi ya kuongeza salary Kila mwaka
Nchi zote na sio mara zote.Unaongelea nchi gani labda kwa sababu katika taifa lolote kwa kadri uzalishaji unavyoongezeka waajiriwa huongezewa maslahi sijui ww unaongelea uzoefu wa taifa gani
SureYaani kwa hapa tulipofikia inakatisha tamaa sana kwani wenye akili wote wanajua usipobiresha maslahi ya wafanyakazi tafsiri yake ni kwamba unahalalisha huduma duni kwa umma!
Sasa hiki chama ambacho badala ya kuibana serikali ili ifikiri zaidi eti wanabweteka mithili ya mtu wa kuhurumiwa tu
Badala ya kujadili hoja unajadili jina rais whyHivi neno 'Rais' ni kama sielewi vizuri linatumikaje hapa tz, au labda ni neno linamaanisha kiongozi yoyote tu?
Ilikuwa zamu ya wafanyakazi kupandushiwa marupurupu maana tunaambiwa kila siku mama kavunja record ya makusanyo as long as kavunja record kwa nn wanaovunjisha hiyo record wasinufaike zaidiNchi zote na sio mara zote.
Ili kujua hizi kauli zinatoka kwa mamlaka ganiBadala ya kujadili hoja unajadili jina rais why
Yap Rais na rais ndo tofauti kubwaIli kujua hizi kauli zinatoka kwa mamlaka gani
Yaani kuna usumbufu mkubwa sana hasa kwa mtu unapostaafu.Wafanyakazi wanahitaji kupewa 💯 ya pensheni wanapostaafu kazi. Je, TUCTA hawajui hilokuna