PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani nini cha muhimu,

Mishahara ishapandishwa na kikokotoo kinakaa sawa.

Kudeal na watanzania raha saana
Watanzania wengi ni wajinga huo ndio ukweli,ukimuasha mjinga nawew unakuwa mjinga,muache mjinga akobolewe ili akili imkae sawa,naomba kasi na morali ya kumkoboa mjinga iwe kubwa,akose Hadi pa kupumulia
Maana dunia ni ya wenye nguvu na sio wanyonge
 
Namna rahisi ya kuwaelezea watu wa namna hii.
Screenshot_20250306-183123_1.jpg
 
Nchi za wenzetu vyama vya wafanyakazi huwa vinaweza kuondoa serikali,ila kwetu vyama vya wafanyakazi ni vijiwe vya kahawa
 
Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.

Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania ustawi wa watu wake.

Katika mazingira ambayo kuna changamoto nyingi sana za ugumu wa maisha hasa kwa watumishi wa umma, leo tuambiwe hawana cha kumwambia rais!?

Nchi yetu itapoteza wataalamu wetu wazuri ili wakapiganie maslahi mazuri mahali oengine na sisi kubaki na vilaza na wale waliochoka.

Tukumbuke kwamba dunia ni Kijiji kama tuna mtaalamu hapa na kwa utaalamu huo ataenda mahali pengine akapata maslahi Bora zaidi ni wazi hatutamfaidi.
Huongozi wa TUCTA unatakiwa kujiuzuru mara moja, hamna kitu
 
Huyu jamaa ni shoga
 
Nchi za wenzetu vyama vya wafanyakazi huwa vinaweza kuondoa serikali,ila kwetu vyama vya wafanyakazi ni vijiwe vya kahawa
Yaani kwa hapa tulipofikia inakatisha tamaa sana kwani wenye akili wote wanajua usipobiresha maslahi ya wafanyakazi tafsiri yake ni kwamba unahalalisha huduma duni kwa umma!
Sasa hiki chama ambacho badala ya kuibana serikali ili ifikiri zaidi eti wanabweteka mithili ya mtu wa kuhurumiwa tu
 
Back
Top Bottom