Bora kwa sabahu hata wakipeleka hayatafabyiwa kazi. Borw tu wamsifie afurahi.Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.
Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania ustawi wa watu wake.
Katika mazingira ambayo kuna changamoto nyingi sana za ugumu wa maisha hasa kwa watumishi wa umma, leo tuambiwe hawana cha kumwambia rais!?
Nchi yetu itapoteza wataalamu wetu wazuri ili wakapiganie maslahi mazuri mahali oengine na sisi kubaki na vilaza na wale waliochoka.
Tukumbuke kwamba dunia ni Kijiji kama tuna mtaalamu hapa na kwa utaalamu huo ataenda mahali pengine akapata maslahi Bora zaidi ni wazi hatutamfaidi.
WalishachangaMimi nashauri tu wamchangie Form Mama yao.
Warudie kuonyesha msisitizo kua wao ni hamnazo.Walishachanga
HahaWarudie kuonyesha msisitizo kua wao ni hamnazo.
Kazi ya rais kama mwajiri mkuu ni kutafutia majibu waajiriwa wake whether ana majibu au hana hiyo ndo kazi aliomba kama hana majibu inapaswa chama kimuwajibishe ili akakune kichwa atoke na majibuBora kwa sabahu hata wakipeleka hayatafabyiwa kazi. Borw tu wamsifie afurahi.
Ataenda kujibu akiwa kaburini kama meko
Anajua Atashindwa Mapema Yaani Kabla Ya Saa Nne AsubuhiNa ndipo sasa kama kweli anakubalika, si twende uchaguzi wa haki? Kwani kumbe shida nini?
gentleman,Unaweza kuleta ushahidi wa kimantiki na wa dhahiri wa viwango maslahi yao yameshughulikiwa!?

Anajua Atashindwa Mapema Yaani Kabla Ya Saa Nne Asubuhi
Mzee ata kama umelipwa basi punguza makali ya kejeli kwa watumishi wa umma.gentleman,
sio siri,
wao wenyewe wana kiri malimbikizo yao yamelipwa, wamepandishwa madaraja na maslahi yao kuboreshwa, mazingira na vifaa vya kazi ni salama na vya kutosha zaidi n.k.
kwa uthibitisho zaidi,
fuatilia bunge la bajeti linaloendelea hivi sasa na utaona namna ambavyo watumishi wa kisekta walivyoboreshewa maslahi yao![]()
+ Baadhi ya kkktKama ilivyo BAKWATA, Polisi, Simba na Yanga na TUCTA nayo ni mali ya Sisiem
Kama hii ndio position hapo Ieinga unataka asemeje?!Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.
Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania ustawi wa watu wake.
Katika mazingira ambayo kuna changamoto nyingi sana za ugumu wa maisha hasa kwa watumishi wa umma, leo tuambiwe hawana cha kumwambia rais!?
Nchi yetu itapoteza wataalamu wetu wazuri ili wakapiganie maslahi mazuri mahali oengine na sisi kubaki na vilaza na wale waliochoka.
Tukumbuke kwamba dunia ni Kijiji kama tuna mtaalamu hapa na kwa utaalamu huo ataenda mahali pengine akapata maslahi Bora zaidi ni wazi hatutamfaidi.
sote kama binadamutunaishi kwa kudra za Mungu kulingana na vipawa mabalimbali alivyomjalia kila mja wake,Mzee ata kama umelipwa basi punguza makali ya kejeli kwa watumishi wa umma.
Hali kwa watumishi wa umma walio wengi ni mbaya sana wanaishi kwa kudra za Mungu kipato wanachopata hakiwiani kabisa na gharama halisi ya maisha.

Unaweza kunitajia Kijiji na mji unaoishi ili nije nijionee aina ya hao watumishi unaonitajia!?sote kama binadamutunaishi kwa kudra za Mungu kulingana na vipawa mabalimbali alivyomjalia kila mja wake,
hata hivyo,
huenda ni mtumishi asie jituma katika kufanya kazi kwa bidii ndie pekee mwenye hali mbaya, kulingana na maoni yako.
binafsi naishi mjini kwa kiasi na lakini nashi vijijini muda mwingi.
wananchi walio na hali bora zaidi ya maisha ni watumishi wa umma gentleman. Wao ndio wana majiumba mazuri ya kuishi na biashara, wao ndio wana magari mazuri ya kutembelea, wao ndio wamna mashamba na plots kubwa kubwa, wao ndio wanaendesha kausha damu nyingi n.k. Hii inamaanisha maslahi yao ni bora zaidi hata yanawapatia fursa ya kufanya shughuli nyingine za kujiongezea kipato![]()
🔥🔥Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.