The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Huenda amesema hivyo Kwakuwa wakimuambia hakuna positive response hivyo wanamuacha waseme wenyeweHii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.
Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania ustawi wa watu wake.
Katika mazingira ambayo kuna changamoto nyingi sana za ugumu wa maisha hasa kwa watumishi wa umma, leo tuambiwe hawana cha kumwambia rais!?
Nchi yetu itapoteza wataalamu wetu wazuri ili wakapiganie maslahi mazuri mahali oengine na sisi kubaki na vilaza na wale waliochoka.
Tukumbuke kwamba dunia ni Kijiji kama tuna mtaalamu hapa na kwa utaalamu huo ataenda mahali pengine akapata maslahi Bora zaidi ni wazi hatutamfaidi.
Katibu waHii nchi bora ingegeuzwa tu na kuwa pori la kufugia ng'ombe kuliko kuwa na binadamu wenye akili kama huyo Katibu wa TUCTA.
Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora wake.
Kama kweli ndio msimamo wa wafanyakazi wetu basi taifa letu lina hali ngumu sana kupigania ustawi wa watu wake.
Katika mazingira ambayo kuna changamoto nyingi sana za ugumu wa maisha hasa kwa watumishi wa umma, leo tuambiwe hawana cha kumwambia rais!?
Nchi yetu itapoteza wataalamu wetu wazuri ili wakapiganie maslahi mazuri mahali oengine na sisi kubaki na vilaza na wale waliochoka.
Tukumbuke kwamba dunia ni Kijiji kama tuna mtaalamu hapa na kwa utaalamu huo ataenda mahali pengine akapata maslahi Bora zaidi ni wazi hatutamfaidi.
Ashalamba bahasha yake ya khaki na mfukoni ana kadi ya kijani yenye jembe la mkono na nyundo[ishara ya umasikini].
Hana habari kuibana serikali kuboresha maslahi ya watumishi.
Watumishi wajiandae kwa kufunga mkanda kwa awamu nyingine tena bibi wa Unguja uchumi umedorora anachoweza ni kujaza mabango nchi nzima na machawa kuwa anaupiga mwingi.Kesha lamba asali kama wale madalali wa kwetu wa enzi zileee