Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko Mbeya kuna wapigaji afu unasingizia sijui awamuMkuu wewe umeona mabasi tu.
Hakuna uwekezaji wowote toka awamu ya Kikwete hadi hii ya Magufuli katika mikoa tajwa(miaka 20 tunaenda).
Tatizo lazima lisemwe wazi.
Hii ni kutokana na kutaka kumpunguzia umaarufu hasa Mwandosya aliyediriki kugombea urais.
Ukiacha barabara ambazo tusiwe wanafiki zimetengenezwa hasa Mafinga-Igawa, uwekezaji mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini ni kama hakuna.
Mkoani Mbeya barabara bado ni mbovu sana Igawa Tunduma ni mbya na inamaliza maisha ya watu kila siku.#Huko Mawilayani hasa Mbeya kuna kasi ndogo sana ya mendeleo ya kimsingi, barabara.
Hawaelewi wanapiga makelele ya kijinga,ni juzi tu hapa tumemuona Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Chalamila akisimamia kubomoa nyumba ya jamaa fulan kupisha ujenzi wa barabara ya lami km 23 tena Mbeya Vijijiji .Mkuu wewe ni mkweli? Mbeya linejengwa soko kubwa jabla ya mikoa mingi, mbeya ilijengwa stand nzuri ya uyole kabla ya mikia mingi, njombe wamejenga solo la kisasa, stand ya kisasa Iringa kina stand ya kisasa kabusa.Nyanda za juu kusini vijiji Vinci sana vimewekewa umeme wa REA, unataka uwekezaji gani mkuu?
Uwe unazunguka na mikoa mingine ujionee hali duni bora ya mbeya njombe na iringa.
Mkia ambayo unauwekezaju mkubwa hapa TZ in Dar na Dom kwingine hali ni moja.
Mkuu hii haikuwa hao...ni lile basi la kampuni ya kijani.
Ila Kyela Express nao hawana afadhali..