Nyanda za Juu Kusini: Uwekezaji kwenye Kusafirisha abiria (Niliyojionea)

Nyanda za Juu Kusini: Uwekezaji kwenye Kusafirisha abiria (Niliyojionea)

Tulitegemea DarLux kuwa mkombozi lakin na yeye amezingua mbaya siku hiz,Investors waangalie hii route aisee
 
jaribu kupanda saibaba ya saa saba mchana DAR - ARUSHA mkuu, ni kimeo kuliko hata hili la Dar- kyela. kwa upande wa hotel ni kweli kabisa hii njia haina hotel kabisa mkuu hilo halipingiki japo nimeona kilimanjaro anajenga yake naamini itakuwa nzuri...
Hilo basi lina abiria wake special mkuu,yani kuna siku nilibugi nikalipanda,kuanzia kondakta mpaka abiria walikuwa wamelewa pombe.
 
jaribu kupanda saibaba ya saa saba mchana DAR - ARUSHA mkuu, ni kimeo kuliko hata hili la Dar- kyela. kwa upande wa hotel ni kweli kabisa hii njia haina hotel kabisa mkuu hilo halipingiki japo nimeona kilimanjaro anajenga yake naamini itakuwa nzuri...
Yes Kilimanjaro anajenga ya kwake na kwa ujenzi ule inavyoonekana itakuja kuwa nzuri tu kuliko hata Bismillah tunayoitegemea kwa sasa.
 
Hakika bado Scandinavia walikuwa the best kwe ye hii industry...Kwa sasa Shabiby kawaacha mbali wenzake.

Kwanini hapigi route ndefu ??
 
Mkuu wewe umeona mabasi tu.
Hakuna uwekezaji wowote toka awamu ya Kikwete hadi hii ya Magufuli katika mikoa tajwa(miaka 20 tunaenda).
Tatizo lazima lisemwe wazi.
Hii ni kutokana na kutaka kumpunguzia umaarufu hasa Mwandosya aliyediriki kugombea urais.
Ukiacha barabara ambazo tusiwe wanafiki zimetengenezwa hasa Mafinga-Igawa, uwekezaji mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini ni kama hakuna.
Mkoani Mbeya barabara bado ni mbovu sana Igawa Tunduma ni mbya na inamaliza maisha ya watu kila siku.#Huko Mawilayani hasa Mbeya kuna kasi ndogo sana ya mendeleo ya kimsingi, barabara.
Mkuu wewe ni mkweli? Mbeya linejengwa soko kubwa jabla ya mikoa mingi, mbeya ilijengwa stand nzuri ya uyole kabla ya mikia mingi, njombe wamejenga solo la kisasa, stand ya kisasa Iringa kina stand ya kisasa kabusa.Nyanda za juu kusini vijiji Vinci sana vimewekewa umeme wa REA, unataka uwekezaji gani mkuu?

Uwe unazunguka na mikoa mingine ujionee hali duni bora ya mbeya njombe na iringa.

Mkia ambayo unauwekezaju mkubwa hapa TZ in Dar na Dom kwingine hali ni moja.
 
uyole hakuna stand imejengwa mkuu.... labda unazungumzia nanenane...
 
Mkuu wewe ni mkweli? Mbeya linejengwa soko kubwa jabla ya mikoa mingi, mbeya ilijengwa stand nzuri ya uyole kabla ya mikia mingi, njombe wamejenga solo la kisasa, stand ya kisasa Iringa kina stand ya kisasa kabusa.Nyanda za juu kusini vijiji Vinci sana vimewekewa umeme wa REA, unataka uwekezaji gani mkuu?
Uwe unazunguka na mikoa mingine ujionee hali duni bora ya mbeya njombe na iringa.
Mkia ambayo unauwekezaju mkubwa hapa TZ in Dar na Dom kwingine hali ni moja.
Usiwe mnafiki ndugu yangu.

Mtu unaweke kule unakokula.

Chakula zaidi y 50% cha nchi hii kinatika mikoa hii minne.

Uwekezaji haulingani na juhudi hiyo.

Lakin tunaona mikoa inayozalisha dhahabu zaidi ya 50% ya faida inabaki mikoa hiyo, uhalisia uko wapi.

Miradi uliyoitaja nmingine ni ya Awamu ya Tatu.

Mbeya kwa mfano, barabara inayokatisha katikati ya Jiji ,iliyoahidiwa kuhamishwa ipite nje ya Jiji miaka na miaka, haijawahi hata kujengwa.
 
kwanin suala la usafi hasa dawa za kunguni au fumigations lisiwe lazima kwa mabasi ya mikoaatleast kuwa na risit ya gari imepigwa dawa ya wadudu
 
Hahaaaah...Hapana mkuu.Hapa wote wamo tu.Majinjah muobekano wa dashboard tu pale na kwenye siti ya staff unajua safari ni kazi kazi.Hakuna urembo.
ruti ndefu mzee.dar mpanda unafikr mchezo.chuma chuma show show
 
Unakuta nyama imekakamaa kama biskuti aisee, vyakula navyo haviliki, havina ubora kabisa.
siwez kula hata iweje.safarin kula ndiz karnaga mahind ya kuchoma bas.mavyakula mzee chaka
 
kwanin suala la usafi hasa dawa za kunguni au fumigations lisiwe lazima kwa mabasi ya mikoaatleast kuwa na risit ya gari imepigwa dawa ya wadudu
Yaani siti unakuta zinavumbi na alama alama kibao.Yes..uwepo wa ukaguzi wa hali nzima ya basi kabla halijaondoka.Sometimes tunabeba magonjwa humuhumu...
 
Usiwe mnafiki ndugu yangu.

Mtu unaweke kule unakokula.

Chakula zaidi y 50% cha nchi hii kinatika mikoa hii minne.

Uwekezaji haulingani na juhudi hiyo.

Lakin tunaona mikoa inayozalisha dhahabu zaidi ya 50% ya faida inabaki mikoa hiyo, uhalisia uko wapi.

Miradi uliyoitaja nmingine ni ya Awamu ya Tatu.

Mbeya kwa mfano, barabara inayokatisha katikati ya Jiji ,iliyoahidiwa kuhamishwa ipite nje ya Jiji miaka na miaka, haijawahi hata kujengwa.
Nimetoa fact, hivyo pinga kwa fact.Nimekaa kanda ya ziwa na kusini.Kanda ya ziwa na magharibi nikama vilisahaulika.
Suala la mapato kubaki ni sheria ya mrabaha na haijatungwa na magufuli. Kuna mikoa inakuwa na makampuni makubwa hivyo kwa sheria hio inafaidika moja kwa moja.Kanda ya ziwa ilitakiwa iwe mbali sana kuliko mkoa wowote Tanzania kwa sababu wana rasilimali zinazokubalika kidunia lakini mikoa ipo nyuma sana ndugu lazima kuwe na balance.
Hivi unajua Kuwa Kigoma haijaunganishwa kwa kami na mikoa mingine kwa 100%?
Halafu kusema chakula kinategemewa kutoka mikoa ya kusini labda pwani na kati. Kanda ya ziwa,kaskazini inajitegemea kwa chakula na ndio maana hata watu wa kanda ya ziwa,kaskazini na magharibi wana afya ya kutosha.
Kitu pekee kinachotegemewa kanda ya kusini ni viazi mviringo japo kaskazini wanalima,vyakula vingine vyote vipo kanda ya ziwa na magharibi na zinajitegemea.
 
Back
Top Bottom