babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Ukipanda Majinja umo ndani ya roli,ni mpela mpera mpk ufike kwenu.Mbona kama unalisimanga basi majinja hivi.
Haina kuremba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipanda Majinja umo ndani ya roli,ni mpela mpera mpk ufike kwenu.Mbona kama unalisimanga basi majinja hivi.
Hilo basi lina abiria wake special mkuu,yani kuna siku nilibugi nikalipanda,kuanzia kondakta mpaka abiria walikuwa wamelewa pombe.jaribu kupanda saibaba ya saa saba mchana DAR - ARUSHA mkuu, ni kimeo kuliko hata hili la Dar- kyela. kwa upande wa hotel ni kweli kabisa hii njia haina hotel kabisa mkuu hilo halipingiki japo nimeona kilimanjaro anajenga yake naamini itakuwa nzuri...
Yes Kilimanjaro anajenga ya kwake na kwa ujenzi ule inavyoonekana itakuja kuwa nzuri tu kuliko hata Bismillah tunayoitegemea kwa sasa.jaribu kupanda saibaba ya saa saba mchana DAR - ARUSHA mkuu, ni kimeo kuliko hata hili la Dar- kyela. kwa upande wa hotel ni kweli kabisa hii njia haina hotel kabisa mkuu hilo halipingiki japo nimeona kilimanjaro anajenga yake naamini itakuwa nzuri...
Mkuu wewe ni mkweli? Mbeya linejengwa soko kubwa jabla ya mikoa mingi, mbeya ilijengwa stand nzuri ya uyole kabla ya mikia mingi, njombe wamejenga solo la kisasa, stand ya kisasa Iringa kina stand ya kisasa kabusa.Nyanda za juu kusini vijiji Vinci sana vimewekewa umeme wa REA, unataka uwekezaji gani mkuu?Mkuu wewe umeona mabasi tu.
Hakuna uwekezaji wowote toka awamu ya Kikwete hadi hii ya Magufuli katika mikoa tajwa(miaka 20 tunaenda).
Tatizo lazima lisemwe wazi.
Hii ni kutokana na kutaka kumpunguzia umaarufu hasa Mwandosya aliyediriki kugombea urais.
Ukiacha barabara ambazo tusiwe wanafiki zimetengenezwa hasa Mafinga-Igawa, uwekezaji mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini ni kama hakuna.
Mkoani Mbeya barabara bado ni mbovu sana Igawa Tunduma ni mbya na inamaliza maisha ya watu kila siku.#Huko Mawilayani hasa Mbeya kuna kasi ndogo sana ya mendeleo ya kimsingi, barabara.
uyole hakuna stand imejengwa mkuu.... labda unazungumzia nanenane...Mkuu wewe ni mkweli? Mbeya linejengwa soko kubwa jabla ya mikoa mingi, mbeya ilijengwa stand nzuri ya uyole kabla ya mikia mingi, njombe wamejenga solo la kisasa, stand ya kisasa Iringa kina stand ya kisasa kabusa.Nyanda za juu kusini vijiji Vinci sana vimewekewa umeme wa REA, unataka uwekezaji gani mkuu?
Uwe unazunguka na mikoa mingine ujionee hali duni bora ya mbeya njombe na iringa.
Mkia ambayo unauwekezaju mkubwa hapa TZ in Dar na Dom kwingine hali ni moja.
Usiwe mnafiki ndugu yangu.Mkuu wewe ni mkweli? Mbeya linejengwa soko kubwa jabla ya mikoa mingi, mbeya ilijengwa stand nzuri ya uyole kabla ya mikia mingi, njombe wamejenga solo la kisasa, stand ya kisasa Iringa kina stand ya kisasa kabusa.Nyanda za juu kusini vijiji Vinci sana vimewekewa umeme wa REA, unataka uwekezaji gani mkuu?
Uwe unazunguka na mikoa mingine ujionee hali duni bora ya mbeya njombe na iringa.
Mkia ambayo unauwekezaju mkubwa hapa TZ in Dar na Dom kwingine hali ni moja.
ruti ndefu mzee.dar mpanda unafikr mchezo.chuma chuma show showHahaaaah...Hapana mkuu.Hapa wote wamo tu.Majinjah muobekano wa dashboard tu pale na kwenye siti ya staff unajua safari ni kazi kazi.Hakuna urembo.
siwez kula hata iweje.safarin kula ndiz karnaga mahind ya kuchoma bas.mavyakula mzee chakaUnakuta nyama imekakamaa kama biskuti aisee, vyakula navyo haviliki, havina ubora kabisa.
Mmmmh New Force za Dar - Songea ziko vizuriiiih.New force je ?? Wote hawa ndugu yao mmoja
Yaani siti unakuta zinavumbi na alama alama kibao.Yes..uwepo wa ukaguzi wa hali nzima ya basi kabla halijaondoka.Sometimes tunabeba magonjwa humuhumu...kwanin suala la usafi hasa dawa za kunguni au fumigations lisiwe lazima kwa mabasi ya mikoaatleast kuwa na risit ya gari imepigwa dawa ya wadudu
Hawa wakongwe wa barabara achana nao!😀Mbona kama unalisimanga basi majinja hivi.
Mmmmmh kidogo zina unafuu bhana lol.New force toka wachina wamerudisha capital na waache kusafiri nayo..yamekuwa [emoji706][emoji706][emoji706]
Nimetoa fact, hivyo pinga kwa fact.Nimekaa kanda ya ziwa na kusini.Kanda ya ziwa na magharibi nikama vilisahaulika.Usiwe mnafiki ndugu yangu.
Mtu unaweke kule unakokula.
Chakula zaidi y 50% cha nchi hii kinatika mikoa hii minne.
Uwekezaji haulingani na juhudi hiyo.
Lakin tunaona mikoa inayozalisha dhahabu zaidi ya 50% ya faida inabaki mikoa hiyo, uhalisia uko wapi.
Miradi uliyoitaja nmingine ni ya Awamu ya Tatu.
Mbeya kwa mfano, barabara inayokatisha katikati ya Jiji ,iliyoahidiwa kuhamishwa ipite nje ya Jiji miaka na miaka, haijawahi hata kujengwa.