Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Nyani Ngabu Ulishawahi kuaibika?

Hahaaa yeah...nakumbuka wakati nipo college...siku moja hivi Ijumaa jioni nikitoka darasani naenda dorm...kuna hallway moja hivi ilikuwa na milango ya vio.

Sasa mimi akili yangu hata sijui ilikuwa wapi siku hiyo...nilipofika hapo kwenye milango mimi nikatembea tu utadhani hakuna milango na matokeo yake nikajibamiza uso hahahaa. Uzuri hakukuwepo na watu wengi ila alikuwepo mchuchu mmoja wa kizungu aliyeniona. Alinicheka sana aisee.

Au ulishawahi kuwa mshamba on something?

Oh yeah...niko mshamba kwenye mambo mengi tu.

Kwa mfano, mwaka juzi tu ndo nimeanza kuwa na smartphone.

Imagine mpaka mwaka 2015 nilikuwa natumia simu kama kitochi....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aseee
 
Ahsante mkuu STUNTER,
Kwa kuruhusu maswali ,binafsi nina swali la kizushi kwa nyani ngabu,

Je Nyani ngabu ni MOD?
Tupo pamoja mkuu... Uwanja ni wetu huu
 
Ahsante mkuu STUNTER,
Kwa kuruhusu maswali ,binafsi nina swali la kizushi kwa nyani ngabu,

Je Nyani ngabu ni MOD?

Hahahaaa hapana aisee.

Sijawahi hata siku moja kuwa Mod humu.

Ni paranoid fantasy za watu tu kudhani mimi ni mod humu.
 
Huyu jamaa na mfaham vzr sanaaa ila yy hanijui, kuna siku tulikua kwenye bas nikaona ana log in JF ni mzee wa makamu muhun muhun tuu yaani wale wazee vijana ana mambo ya kisela sanaaa
Mabasi ya Texas au hapo NYC?
 
Hahahahah
Hivi Nyani Ngabu katika kuishi kwako kote huko ughaibuni, kuanzia college hadi kazini,
ulishawahi kukutana na wazungu wenye tabia za kiswazi /kiswahili?
Mfano wanawake kutupiana maneno ya mafumbo n.k...
Hebi nijibu hili please
 
Unamaanisha passport au visa?

Kama ni passport ninayo hii ya kawaida tu na sijui inaangukia wapi katika hayo makundi uloyataja.
Kuna aina mbalimbali kama zilivyoandikwa kwenye fomu ya kuombea passport
 
Vizuri,
Mwisho unaichukuliaje JF ya sasa hivi na ya kipindi cha nyuma? Kuna mapungufu kwenye michango ya wanachama au imeboreka zaidi?

Kama kawaida comment either yes or no kulingana na jibu lako.

JF ya sasa hivi imekosa utulivu. Hususan utulivu wa michango yenye hoja zenye mashiko na za kuvutia.

Lakini hilo ni jambo la kutegemewa, kwa mtazamo wangu.

Kadri udadi ya wanachama inavyozidi kuongezeka na kadri majukwaa yanavyozidi kuongezeka ndo vurugu nazo zinavyozidi kuongezeka.

Zamani jukwaa kuu lilikuwa la siasa tu na mada zilikuwa za kiutu uzima zaidi.

Siku hizi kuna kila aina ya watu na kila aina ya takataka.

Imagine watu wanajiaminisha kuwa wanakujua wewe Daby ilhali hata kukuona hawajawahi, hawajui unaitwa nani, hawajui unaishi wapi, hawajui unafanya nini, kisa tu eti wanakusoma humu JF.

So penye wengi pana mengi.

Hata zamani Dar haikuwa chafu kama ilivyo sasa na haikuwa na uhalifu kama uliopo sasa. Hata dada poa hawakuwepo.

Kwa hiyo hata haya mabadiliko ya JF ni mambo ya kawaida tu. Kadri JF inavyozidi kukua na kadri idadi ya wanachama inavyoongezeka na yenyewe [JF] inabadilika kwa mazuri na mabaya.
 
Wewe ni Mgeni humu JF Mkuu?

Mbona sijawahi kusikia wala kuliona hilo jina NYANI NGABU!
 
Eti ni kweli kuwa una pesa?ulitoa pesa kwenye ATM moja hivi ikaishiwa ikabidi wengine waende ATM zingine,,ulikuwa na mchuchu wa humu jf mnaenda kula bata kisiwa kimoja hivi......

Ahahahaaa Gea bana.

Hivi wewe Gea Habibu ndo yule Gea wa Clouds?

Kuhusu pesa...yeah ninazo.

Hilo na kukausha nani alikwambia wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…