Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Je una mpango gani wa kurejesha makazi yako nyumba Tanzania?
I'm here to stay pal...
Pia ujue kuna Id mpya zinazaliwa kila siku, hivo epuka kula matapishi yako mkuu.Kuna uzi niliusoma love connect nilicheka saana.
JF mnaweza kuwa na bwana/mke mmoja watu kumi huku wote mnataniana hapa.
HhhhaaaaaaPia ujue kuna Id mpya zinazaliwa kila siku, hivo epuka kula matapishi yako mkuu.
Are you scared?Hehehehe utakula za uso wewe,usiniharibie maisha yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mimi nikuulize katika Maisha yako ya mahusiano ni mpenzi wako gan unamkumbuka? Na kwanini?
Na lingine je unaamini elimu ndo mkombozi wa maisha ya mtu???
Am not scared ,ila sitaki nishatuliza moto sitaki uwashwe tena[emoji41][emoji41][emoji41]Are you scared?
Daah.Pia ujue kuna Id mpya zinazaliwa kila siku, hivo epuka kula matapishi yako mkuu.
Hapo sawa.Am not scared ,ila sitaki nishatuliza moto sitaki uwashwe tena[emoji41][emoji41][emoji41]
Kuna kitu nimekumbuka "sura kama dole gumba aki pepo utaishia kuiona kwangu
NN unampango wa kuoa tena? km unao unadhani utarudi kuoa mzungu ama utarudi nyumbani kutafuta kigoli mbichi?
Asante sana je una amini katika kusaidia wengine????Namkumbuka mama Kisura kwa sababu yeye ndiye kanipatia Kisura.
Elimu pekee sio mkombozi wa maisha ya mtu.
Kuna watu kibao wana elimu lakini wamepigika kimaisha.
Mkombozi wa maisha ya mtu ni zaidi ya elimu tu.
Ahhahaah kutwa kutunisha misuli humu kumbe huna loloteeAhahaaa....komwe kuuubwa utadhani busha la mzee Abdallah😀
Haya bhanaDaah.
[emoji3][emoji3][emoji119][emoji106][emoji106]
Asante sana je una amini katika kusaidia wengine????