Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Na mimi nikuulize katika Maisha yako ya mahusiano ni mpenzi wako gan unamkumbuka? Na kwanini?

Namkumbuka mama Kisura kwa sababu yeye ndiye kanipatia Kisura.

Na lingine je unaamini elimu ndo mkombozi wa maisha ya mtu???

Elimu pekee sio mkombozi wa maisha ya mtu.

Kuna watu kibao wana elimu lakini wamepigika kimaisha.

Mkombozi wa maisha ya mtu ni zaidi ya elimu tu.
 
NN unampango wa kuoa tena? km unao unadhani utarudi kuoa mzungu ama utarudi nyumbani kutafuta kigoli mbichi?
 
Namkumbuka mama Kisura kwa sababu yeye ndiye kanipatia Kisura.

Elimu pekee sio mkombozi wa maisha ya mtu.

Kuna watu kibao wana elimu lakini wamepigika kimaisha.

Mkombozi wa maisha ya mtu ni zaidi ya elimu tu.
Asante sana je una amini katika kusaidia wengine????
 
1.Mkuu naomba listi ya vitabu vitano ambavyo kwako ni life changing
2.kama si wewe basi ni kiranga kuna aliyesema alifanya thesis fulani ya artwork fulani hivi ya artist fulani hivi skumbuki ni rembrart au nani, does it ring a bell?,if so how can I get it without compromising your anonymity,for academic purpose ofcourse.
3.mkuu samtaimz huwa comments na baadhi ya mabandiko yako huwa yamekaa kichokozichokozi,trolling of some kind na kutokana na uzoefu wako mitandaoni inaonyesha huwa unafahamu kuwa utapata backlash ama response ya aina fulani kutoka kwa wachangiaji. wengine,huwa inatokea tu au you do it for fun?
4.je umesomea ama una knowledge ya saikolojia ?
Wasalam
 
Back
Top Bottom