Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Asante saana NN, JF imebadilika saana ni kweli.JF ya sasa hivi imekosa utulivu. Hususan utulivu wa michango yenye hoja zenye mashiko na za kuvutia.
Lakini hilo ni jambo la kutegemewa, kwa mtazamo wangu.
Kadri udadi ya wanachama inavyozidi kuongezeka na kadri majukwaa yanavyozidi kuongezeka ndo vurugu nazo zinavyozidi kuongezeka.
Zamani jukwaa kuu lilikuwa la siasa tu na mada zilikuwa za kiutu uzima zaidi.
Siku hizi kuna kila aina ya watu na kila aina ya takataka.
Imagine watu wanajiaminisha kuwa wanakujua wewe Daby ilhali hata kukuona hawajawahi, hawajui unaitwa nani, hawajui unaishi wapi, hawajui unafanya nini, kisa tu eti wanakusoma humu JF.
So penye wengi pana mengi.
Hata zamani Dar haikuwa chafu kama ilivyo sasa na haikuwa na uhalifu kama uliopo sasa. Hata dada poa hawakuwepo.
Kwa hiyo hata haya mabadiliko ya JF ni mambo ya kawaida tu. Kadri JF inavyozidi kukua na kadri idadi ya wanachama inavyoongezeka na yenyewe [JF] inabadilika kwa mazuri na mabaya.
Mara nyingi nimekuwa msomaji saana jukwaa la siasa sio mchangiaji kivile lakini nimekunona mnavyorushiana maneno na baadhi ya member n.k.
je Yanaishia hapo au kuna hatrage zaidi ikitegemea xxx alishalalamika kufuatwa pm na kutukanwa.