Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Nataka nije kusoma afu pia nitafute kibarua cha kufanya huku nasoma ili kupunguza makali ya maisha je ninaweza kufanikisha lengo langu?
 
1.Mkuu naomba listi ya vitabu vitano ambavyo kwako ni life changing

Kitabu hakiwezi kubadili mwelekeo wa maisha yangu. Kwa hiyo sina vitabu ambavyo vimewahi kubadili maisha yangu.

Ila naweza kusema vitabu alivyowahi kuandika mdingi kwangu vina sehemu yake maalumu kwenye moyo na maisha yangu.

Hivyo labda naweza kusema vitabu vyake...

2.kama si wewe basi ni kiranga kuna aliyesema alifanya thesis fulani ya artwork fulani hivi ya artist fulani hivi skumbuki ni rembrart au nani, does it ring a bell?,if so how can I get it without compromising your anonymity,for academic purpose ofcourse.

Mimi nimewahi kuandika kuhusu The Starry Night ya Vincent Van Gogh...

Sasa nikikupa paper nzima nitakuwa nime blow cover yangu....labda nikupe excerpts tu.

3.mkuu samtaimz huwa comments na baadhi ya mabandiko yako huwa yamekaa kichokozichokozi,trolling of some kind na kutokana na uzoefu wako mitandaoni inaonyesha huwa unafahamu kuwa utapata backlash ama response ya aina fulani kutoka kwa wachangiaji. wengine,huwa inatokea tu au you do it for fun?

Hahahaaa 9/10 huwa nafanya hivyo on purpose. Na ndo maana utakuta wale wanaonielewa wala huwa hawanaga shida na mimi kabisa.

It's just me...it's who I am. Kuna huyu mshikaji Raimundo huwa ananielewa sana na baadhi ya wakongwe.

4.je umesomea ama una knowledge ya saikolojia ?
Wasalam

Hapana, sijasomea saikolojia.

Darasa pekee la saikolojia ambalo nililichukua college ni Psychology 101.
 
Nyani ngabu hapo USA unaishi jimbo gani na mji gani, Changamoto zake katika harakati za kutafuta ni zipi?
 
Je, ulishawahi kumchapa mwanao.? Iwe kofi ama fimbo.?

Same question kwa mama wa mwanao.
 
Kitabu hakiwezi kubadili mwelekeo wa maisha yangu. Kwa hiyo sina vitabu ambavyo vimewahi kubadili maisha yangu.

Ila naweza kusema vitabu alivyowahi kuandika mdingi kwangu vina sehemu yake maalumu kwenye moyo na maisha yangu.

Hivyo labda naweza kusema vitabu vyake...

Mimi nimewahi kuandika kuhusu The Starry Night ya Vincent Van Gogh...

Sasa nikikupa paper nzima nitakuwa nime blow cover yangu....labda nikupe excerpts tu.

Hahahaaa 9/10 huwa nafanya hivyo on purpose. Na ndo maana utakuta wale wanaonielewa wala huwa hawanaga shida na mimi kabisa.

It's just me...it's who I am. Kuna huyu mshikaji Raimundo huwa ananielewa sana na baadhi ya wakongwe.

Hapana, sijasomea saikolojia.

Darasa pekee la saikolojia ambalo nililichukua college ni Psychology 101.
Swadaktaa ni wewe kumbe memory yangu bado iko sawa,hata hizo excerpts sio mbaya nitakutafuta baadaye.
na kuhusu swali la kwanza nadhani ulishaelewa nini nilimaanisha ila basi tu wanifanyia visa na maanisha vitabu influential,ama ulivyowahi vikubali kutokana na ujumbe uliomo ndani yake.hizi lugha zilizokuja na wamishonari wengine bado hatujazimasta.

By the way am a fan,kuna characters mujarrab unazo na huwa najifunza mengi kwako hata ukiwa na misimamo nisiyoikubali,You are kinda gifted brother.
 
Nimeona sehemu katika post zilizopita kuwa hutotaka kuajiriwa tena, upo radhi uwe hata dereva wa Uber.

Je Huko ulipo madereva wa uber ndo wenye kazi zinazodharaulika.? Ama udereva wa uber ndo kazi yenye ujira mdogo kuliko zote.?
 
Back
Top Bottom