Nyani Ngabu the JF Superstar

Status
Not open for further replies.
hahaaaa kwahiyo umemuita malcom aje amwage nondo zakuhusu sifa za nyani ngabu aiseee JF kuna visa
 
Mtoto wa kiume kumpapatikia wa kiume mwenzako hii si dalili njema, Vaseline inahusika.
 
Kwanza mtoa uzi jina lako na mambo uloyafanya huku kumsifia mwanaume mwenzio umenisikitisha.
Halafu sisi huku hamna mtoto ataeshoboka kisa kukaa nje blah blah. Kuna mtu anakua anapendwa tu ila sio hayo uloyasema bwana. Designer clothes sijui mavitu ulomsifia nayo kweli uanze kuyashobokea wakati hata mtu humjui. Tutake radhi hatuna ushamba huo.
 
Mtoto wa kiume kumpapatikia wa kiume mwenzako hii si dalili njema, Vaseline inahusika.
Mkuu Nyani ni role model.. Wewe mbona ulikuwa unampapatikia sana Ally Kiba mpaka ukaprint t-shirts, ina maana ally kiba sio kidume?
 
WE NAEEE KAMA UNAMTAKA SI UMWENDEE TU PM UMWAMBIE HAJA ZA MOYO WAKO!
yani kwa kuwa unafantacy zako za kiwehu ndo uone kila mwanamke akktakwa na NN hatakataa!

KWA KUWA?
psyuuuuuu!
AKIKUBALIWA NI KWA KUWA MTU KAVUTIWA NAE!ILA SIO US SIJUI NN!US NI NINI?
AND MBONA SIJAWAHI HATA KUWAZA TU ANAFANANAJE LET ALONE KUMTAMANI!

nia yako unataka mwenzio awekwe tu ubaoni watu wanange!
wakikujibu wewe kumbe tunajikuta tunamuoffend bila sababu!

ACHA KUSHOBOKEA WATU NYUMA YA KEYBOARDS!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…