Kwani na wewe unamshobokea Nyani Ngabu?Kwanza mtoa uzi jina lako na mambo uloyafanya huku kumsifia mwanaume mwenzio umenisikitisha.
Halafu sisi huku hamna mtoto ataeshoboka kisa kukaa nje blah blah. Kuna mtu anakua anapendwa tu ila sio hayo uloyasema bwana. Designer clothes sijui mavitu ulomsifia nayo kweli uanze kuyashobokea wakati hata mtu humjui. Tutake radhi hatuna ushamba huo.
NN hana ujinga huu!Isije kuwa jamaa ana ID nyingi anacheza pata potea
Punguza kidogo ukali wa maneno.. Shambulia mada usinishambulie mimi mkuuWE NAEEE KAMA UNAMTAKA SI UMWENDEE TU PM UMWAMBIE HAJA ZA MOYO WAKO!
yani kwa kuwa unafantacy zako za kiwehu ndo uone kila mwanamke akktakwa na NN hatakataa!
KWA KUWA?
psyuuuuuu!
AKIKUBALIWA NI KWA KUWA MTU KAVUTIWA NAE!ILA SIO US SIJUI NN!US NI NINI?
AND MBONA SIJAWAHI HATA KUWAZA TU ANAFANANAJE LET ALONE KUMTAMANI!
nia yako unataka mwenzio awekwe tu ubaoni watu wanange!
wakikujibu wewe kumbe tunajikuta tunamuoffend bila sababu!
ACHA KUSHOBOKEA WATU NYUMA YA KEYBOARDS!
hahaaaa watu mnanondo ..yaani huwa hamuhitaji kushindwa kwahoja dhaifu ..kwa maelezo yako hapo juu wewe ni mwanamke but urembo ni issue nyingine hahaaa aiseeUmemsoma FisadiKuu vizuri?.
Hakusema wanawake, Kauliza "Hivi kuna mrembo yeyote humu JF ambaye hamfagilii Nyani na swagg zake za kimtoni mtoni"?. Sidhani kama u mrembo.
Kwa maelezo yako hapo juu ni kwamba "Wewe ni mwanamke", urembo ni issue nyingine. Na pia sidhani kama wewe ni binti.
I stand to be corrected.
INAUMA KUMBE KUAMBIWA USIYOFIKIRI KUFANYA ENH?Punguza kidogo ukali wa maneno.. Shambulia mada usinishambulie mimi mkuu
Mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake ni sawa kila mwanaume kumsifia mwanaume mwenzake si sawa!!NN hana ujinga huu!
AKITAKA KUJISIFIA ANAAMUAGA TU KUANDIKA BONGE LA THREAD!
na angekuwa ni yeye asingeandika hoja za kishoga shoga kama hizi!
NIMESHANGAA MTU UNAKAAJE UNASIFIA MWANAUME MWENZIO KIJAMES JAMES HIVI!wooooih1
Role model wa nan?Mkuu Nyani ni role model.. Wewe mbona ulikuwa unampapatikia sana Ally Kiba mpaka ukaprint t-shirts, ina maana ally kiba sio kidume?
hahaaa kumbe ...Kapiga Krosi hapo halafu kafunga mwenyewe Mkuu. This's JamiiForums Mkuu pole sana kama una ugeni nayo.
Hawezi kuwa na muda mchafu hivi. Huyu sijui anamtakaIsije kuwa jamaa ana ID nyingi anacheza pata potea
hahaaa aisee[emoji23] [emoji23] kujupenda itakuwa jina la demu wake
Simshobokei kama huo utoto ulioandika. Ungetuuliza wanawake mnampendea nini Nyani Ngabu tungekupa majibu. Ila hayo uloandika labda mwenzetu unamshobokea kwa hayo. Mie nampendea majibu yake tu hayo ya kukaa nje sijui anakaa karibu na nani ndo nimejua leo kumbe NN ni neiba ake Usher.Kwani na wewe unamshobokea Nyani Ngabu?
Hahahahaha kwahiyo wewe umempendea kingereza?Simshobokei kama huo utoto ulioandika. Ungetuuliza wanawake mnampendea nini Nyani Ngabu tungekupa majibu. Ila hayo uloandika labda mwenzetu unamshobokea kwa hayo. Mie nampendea majibu yake tu hayo ya kukaa nje sijui anakaa karibu na nani ndo nimejua leo kumbe NN ni neiba ake Usher.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tabia ya ushoga huuanza taratibu mwanaume anaanza kumsifia mwanaume mwenzake taratibu unashangaa unashikwa kalio mara unatatuliwa marinda
Endelea kuweka marinda yako rehani tu
Kwani we unampendea nin? Halafu mkuu kazi ya kusifia wanaume tuachie. Tusiingiliane majukumu tafadhali.Hahahahaha kwahiyo wewe umempendea kingereza?
Yaan me notification kwangu ni janga la taifaNimekuita sijui hujaonaa