GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu usihofu tupo wote Liverpool na Simba najua haya mambo ya kunogesha jamvi lakini mambo mengi uko sahihi
Aaah papa situmii bwanaa ananiwasha...[emoji20]ww nakuletea papa, siku ile napita hapo kwenu nilikuaga bhana.
HiIla mwanaume kukaa kuanza kumsifiasifia mwanaume mwenzako inaleta ukakasi kidogo
Aaah papa situmii bwanaa ananiwasha...[emoji20]
Nikawaida ya wavulana wa Dar.Ila mwanaume kukaa kuanza kumsifiasifia mwanaume mwenzako inaleta ukakasi kidogo
sawa mkuu tupo pamoja.Mkuu nilikimbilia huku nyumbani kuwasalimu kwahiyo nikawa busy kupita kwa ndugu na marafiki.
In to the Shithole babeee...[emoji39] [emoji39] [emoji39]Another bullshit
Yaani ww[emoji4] lini ulikuja kwetu ukakuta bwawa LA samaki!?Ama unae ndio maana anakuwasha?
sawa mkuu tupo pamoja.
oky naona ulipotea kabisa PM.Ile ishu nitarudi nikiwa tayari
Yaani ww[emoji4] lini ulikuja kwetu ukakuta bwawa LA samaki!?
Hello mumu, mzima?
oky naona ulipotea kabisa PM.
Whats matter?Nasikia Inna anaosha koni yake
Asipokuelewa hapa ana lake jamboNaona umekosa kazi za kufanya....
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote
Alafu mwanaume mashine kukaa Mtoni siyo issue
Nawasiwasi na hii ID[emoji40]
Nilikuwa sijajua. Kumbe mtu ukiishi US warembo hawachomoi