Nyani Ngabu the JF Superstar

Nyani Ngabu the JF Superstar

Status
Not open for further replies.
Mkuu usihofu tupo wote Liverpool na Simba najua haya mambo ya kunogesha jamvi lakini mambo mengi uko sahihi

Nashukuru kwa kunielewa Mkuu. Tubakie tu kuzungumzia Liverpool FC na Simba SC yetu tu humu hiyo kitu ingine tuwaachie Wahusika ambao kwa bahati wapo ama tunao wengi tu humu Jamvini na kila uchao tunatiririka na kuserereka nao.
 
Halafu una papa mkubwa yule ulinionyesha kwenye lile bwawa la Nyumba ya nyumba. Huyo papa anamzidi papa wa zari katika bwawa lake mbele ya nyumba.
Yaani ww[emoji4] lini ulikuja kwetu ukakuta bwawa LA samaki!?
 
Naona umekosa kazi za kufanya....
To be honestly Mimi Ngabu namfahamu pia fun wake but kusema wanawake sijui tunamsujudu au kumsumbua huko ni kutushusha thamani.... Na Kama wapo wanaofanya hivyo ni sawa
Lakini siyo kutujumuisha wote

Alafu mwanaume mashine kukaa Mtoni siyo issue

Nawasiwasi na hii ID[emoji40]
Asipokuelewa hapa ana lake jambo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom