GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu usihofu tupo wote Liverpool na Simba najua haya mambo ya kunogesha jamvi lakini mambo mengi uko sahihi
Nashukuru kwa kunielewa Mkuu. Tubakie tu kuzungumzia Liverpool FC na Simba SC yetu tu humu hiyo kitu ingine tuwaachie Wahusika ambao kwa bahati wapo ama tunao wengi tu humu Jamvini na kila uchao tunatiririka na kuserereka nao.