Kuandiks unajua, ns kusoma je?Sasa huo waraka utatusaidia nini, mbona akina mangi mnajishitukia kwa usaliti wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuandiks unajua, ns kusoma je?Sasa huo waraka utatusaidia nini, mbona akina mangi mnajishitukia kwa usaliti wenu.
Tungekuwa uko uko walipotufikisha hawa wanaotutawala SasaSijui kama unajua, hizo nafasi za masomo ng'ambo sio kwa ajili ya Watanganyika wowote bali watoto wa machifu. Nimebahatika kusoma primary na Mjukuu wa Mangi Mkuu, mwenzetu toka sekondari kaenda London!. Nilipokwenda London, akanikaribisha kwake, kumbe Mangi Mkuu wana a big family house in London!.
Tuweke siasa pembeni, ni jimbo gani in Tanzania lilikuwa tayari kujitawala kwa kujitegemea zaidi ya Northern Province?.
Can you imagine kama uhuru ungetolewa kwa Mangi Mkuu badala ya kwa Nyerere saa hizi Tanzania tungekuwa wapi?.
P
Karibu mitaa hii Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?Mkuu JokaKuu kwanza hongera kwa bandiko zuri .
.
Niko Interested kujua ukweli juu ya mapinduzi ya Zanzibar na maisha ya John Okello baada ya mapinduzi.