Nyaraka inayothibitisha kwa Mangi Marealle alimuunga mkono Julius Nyerere UN hii hapa. Uongo kwamba Marealle alipinga uhuru ni kwa maslahi ya nani?

Nyaraka inayothibitisha kwa Mangi Marealle alimuunga mkono Julius Nyerere UN hii hapa. Uongo kwamba Marealle alipinga uhuru ni kwa maslahi ya nani?

Sijui kama unajua, hizo nafasi za masomo ng'ambo sio kwa ajili ya Watanganyika wowote bali watoto wa machifu. Nimebahatika kusoma primary na Mjukuu wa Mangi Mkuu, mwenzetu toka sekondari kaenda London!. Nilipokwenda London, akanikaribisha kwake, kumbe Mangi Mkuu wana a big family house in London!.

Tuweke siasa pembeni, ni jimbo gani in Tanzania lilikuwa tayari kujitawala kwa kujitegemea zaidi ya Northern Province?.
Can you imagine kama uhuru ungetolewa kwa Mangi Mkuu badala ya kwa Nyerere saa hizi Tanzania tungekuwa wapi?.
P
Tungekuwa uko uko walipotufikisha hawa wanaotutawala Sasa
 
Ilikuwa Lazima kijana Mwenye maadili Ndio ashike usukani hata kama angekuwepo Mwingine asingepewa sifa NZURI kwa kufifishwa kama wengine waliokuwepo!!

Kashfa hutafutwa Ili kupika wanachataka tukile!

Usijichoshe mkuu;-

"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
 
Back
Top Bottom