mbona wezi wa kuku mitaani wanapigwa, wananyang'anywa halafu wanapelekwa polisi then mahakamani. We vipi?Kwanini wapelekwe mahakamani wakati tayari wanajulikana na wameshaanza kuzirejesha hizo hela?
Nakubaliana na wewe kabisa, lakini kwanini hii habari ije wakati huu?
Kuna ajenda gani?
Ukifuatilia posts zangu, hamna sehemu yoyote nimeitetea CCM.
Ishu ya Kagoda kila mtu anaifahamu, imekuwa masikioni kwetu kwa miaka sasa! Hakukuwa na sababu yoyote ya kuifanya big deal.
yale yaleeeeHapana mkuu, itakuwa ni name calling.
Well, basi nawasubiri ECOLI na RITZ waje nao waongeze nguvu
Sheria ya JF hapa imevunjwa!Mkuu Mwita 25 na Rejao ni one person in two different ID's
Nakubaliana na wewe kabisa, lakini kwanini hii habari ije wakati huu?
Kuna ajenda gani?
Ukifuatilia posts zangu, hamna sehemu yoyote nimeitetea CCM.
Ishu ya Kagoda kila mtu anaifahamu, imekuwa masikioni kwetu kwa miaka sasa! Hakukuwa na sababu yoyote ya kuifanya big deal.
Nilichoipendea hii ya Msemakweli ni kwamba, Angalau Amezindua kampeni za Chadema Igunga. Ameifanya purposely, kwa wakati maalum na kwa watu maalum. Kazi ipo kwa CCM sasaUzuri wa hii movie ni kwamba haitakaa iishe hadi watazania watakapoamua kuimaliza.
Naamni Msemakweli kafanya jambo jema ambalo watanzania wengi tunaliogopa kama ukoma ingawa tu mabingwa wa kulalama!
Kama JK bado ni best wa RA and CO, hivi usalama wa maisha ya nape uko wapi jamani?RA alipuliwe mapema ili akose nguvu ya kwenda kusimama jukwani kumnadi mgombea wa ubunge huko Igunga kama walivyo kubaliana na rafiki jk
Naona mmekosa chakuandika!
Poleni
Mh!asante sana mkuu Invisible kwa mawasilisho.,sasa nafsi imetulia....baada ya kuwekwa roho juu na Mzee Mwanakijiji kwenye ile sredi ya count down!
Bwa! ha! ha! Robot (Invisible)...ila taarifa ya Bw Msemakweli might be true or otherwise....lakini as far as kampeni za uchaguzi wa Igunga ambao unaendelea sasa ....honestly, its a crap...why now? why this time....Shortly, bad timing Mr. Msemakweli. NOT THIS TIME....
Basi ni hivyo hivyo mkuu...if you do me ...i do you. Ndicho kinachofanyika sasa