Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

Punguza stress tulia andaa Cv yako kwani unaijua ww mwenyewe.umu jamvin wanakutia ndimu 2
 
Mwaka wa mwisho chuo kikuu hujui kuandaa cv??? unataka na hiyo ufundishwe na Profesa fulani??? Jishughulishe!!!!!!!
 
Wadau wa JF habari zenu?,
Ombi langu ni maelekezo ya jinsi ya kuandika CV,
Kama inawezekana nisaidieni mfano wa CV.
 
habar wapenda naomben kuelekezwa jinsi ya kuandika cv au mfano wa cv nataka kufahamu ni sawa na ninavyofaamu
 
Unaweza kuwaona experts wanaoprovide training kuhusu hayo mambo,nipm kama uko interested nikupe contacts.
 
acha uzembe wewe,muda uliotumia kupost hii threat ungeutumia ko-google ukaona template za CV zikoje
 
Back
Top Bottom