Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau naombeni kujuzwa jinsi ya kuandika CV, pamoja na format yake plz[/QUOTE
sasa wewe maendeleo ya teknolojia unajuvunia nini?????? au kujua facebook na jf?????/
acha ukilaza wewe
habar wapenda naomben kuelekezwa jinsi ya kuandika cv au mfano wa cv nataka kufahamu ni sawa na ninavyofaamu
inategemea unaomba kazi gani , kwani CV zinakuwa tofauti
naomba kama secretary
acha uzembe wewe,muda uliotumia kupost hii threat ungeutumia ko-google ukaona template za CV zikoje
acha uzembe wewe,muda uliotumia kupost hii threat ungeutumia ko-google ukaona template za CV zikoje