Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

je kama mtu anaelimu ya kidato cha nne(4)anaweza kuandaa cv?
 

Mfano wako wa cv ni mzuri lakini hauko ki professional kabisa kwa upandde wangu
 
Mfano wako wa cv ni mzuri lakini hauko ki professional kabisa kwa upandde wangu

For starters, Entry level 0-3 years experience it is an ideal Resume. It is not for Mid level 4+ years.
The one who started this thread is about to finish college and that format for me is appropriate.
You can post your Resume which you believe its professional so you can help the Need.
 

Hizo hapo waeza ku download.
 
Mpaka umefikia kiwango hicho cha elimu Kuandika CV huwezi? My organization inatoa elimu kwa mpunga mdogo kufundisha uandikaji wa Cv. Tuwasiliane.
 
Tatizo letu ni kusoma kwa kukariri yaan kucopy na kupaste
 
hivi uki itwa ktk interview si ina maana...Mwajiri aliridhika na CV..kilicho baki ni kukuona wewe appearance na confidence?
Je...ikitokea ume sailiwa dakika nyingi say saa1 na wengine dkk chache...ina maana gani? BUSARA ZENU WAKUU
 
Wadau, hivi barua ya maombi (application letter) inatakiwa kuandikwa kwa mkono (hand-writen) au kuchapwa(printed), msaada wenu wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…