Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

Naitwa salum ally nina miaka 27 naishi dar mbagala nimeoa na nina mtoto mmoja.
Nimeitim stashahada ya manunuzi na ugavi (procurement and logistics management) kutoka taasisi ya uhasibu Tanzania may 2012.
Nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi katika masula ya utuzaji wa bohari (storekeeping) msaidizi wa manunuzi assistant supplies officer pia inventory controller kwa muda wote tangia kuitimu nilikua nikijitolea katika taasisi za umma halmashaur na shirika la umma

Naomba msaada ili nipate kibarua katika taasisi yeyote ambayo ina fanya kazi hizo hapo juu nina cv nzur inayinieleza vizur sana ukiguswa na ili na ukiitaji kuona cv kwa msaada zaidi unaweza kutuma email yako ili niku fowardie nk kwa mawasilioano zaidi 0683715151

Asante
 
Akil mgando hii ussue si kuleta hapa madogo wa siku hiz mnazingua
 
Km hajui mumsaidie syo mnatoà makavu huo sio msaada kwan we ulizaliwa unajua vyote??
 
Ninataka kuomba kazi sehemu fulani hivi sasa wananiambia wanahitaji CV mimi nimewaambia kazi naweza wala hawaniamini sasa niambieni naanzaje kuandika CV pls nisaidieni nikipata pesa ntakuja huku huku kuwauliza jinsi ya kutumia.
 
Back
Top Bottom