Nayraty abdallah
New Member
- Dec 17, 2018
- 1
- 0
😀😀😀kuna vitu vingine sio lazima uulize u need to search by youself ndio maana ya technologia ebooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀kuna vitu vingine sio lazima uulize u need to search by youself ndio maana ya technologia ebooo
vizuri sana.Habari zenu wana-JF?
Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa CV yangu..
Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho Computer science, nataka kuandaa CV yangu vizuri.
Shukrani!
Mifano ya Barua ya Maombi, Wasifu (Resume) na Rejea (Reference):
Kwa hisani ya HMS
Du ndo nimesikia leo kuna chuo cha kata Tanzaniavyuo vya kata vina maajabu yake
Communications Skills..nilikuwa nalichukia sana hili somo mpaka nalo likanichukia...Hivi we ukosoma CL katika pitapita yako katika elimu yako.Halafu this is repeated thread m2 wangu be current.
Kaka nielekeze about application ya #www.tamisemi.go.tz wametoa ajira sa sijawahi wala sijui how to apply online pleasepole bro find me @ my office,i'll help u.
DAR! ingia youtube utaona sample mbalimbali 👐🙌🙌Wadau naombeni msaada jinsi CV inavyoandkwa pamoja na format yake.
Unaandika barua moja ila huo mwngne unakuwa ujuz binafsnaomba kuuliza
kama kampuni imetoa ajira, na kwenye hizo ajira kuna nafasi mbili unaweza kuzifanya.!
je, utaandika barua moja kusema unaweza hizo kazi mbili au utaandika barua mbili na kila barua ikisema nafasi husika.?