Mmaojazana upepo ni nyie.
Kama sio huruma Mbowe alikua anakula mvua ya kutosha.
Hilo analifahamu.
SureMagufuli bado anaishi ndani ya bunge
Sasa ushauri utatoaje wewe wakati ni paralegal...picha linaanza chamber summons imequote misc application no 16 wakati ni 13Ngoja tuone
Naipitia kwa uangalifu mkubwa ili nitoe ushauri wa kitaalamu kwa ama Chadema au Mahakama
Halima Mdee kabebeshwa msalaba mzito sana yule binti!
AKILI YAKO IMEISHIA HAPO- IMPUNITY HAS NO ROOM IN 21ST CENTURYNingekuwa na maamuzi ndani ya CHADEMA nisingeenda hata mahakani.
Katiba inataka mbunge awe na chama. Nimewafukuza hao.
Si wanachama. Basi waendelee kuwalinda.
SANA. Toka kuwa mpambanaji wa haki na demokrasia, kuibiwa uchaguzi kwa mabavu mchana kweupe hadi kugeuzwa kibaraka wa mtesi wako! Halima leo anasimama na CCM kupambana na CHADEMA iliyomlea! Sidhani kama alitegemea ipo siku atafika huku.Ngoja tuone
Naipitia kwa uangalifu mkubwa ili nitoe ushauri wa kitaalamu kwa ama Chadema au Mahakama
Halima Mdee kabebeshwa msalaba mzito sana yule binti!
Serikali(Tume ya Uchaguzi) ndiye iliyewapa Ubunge ili kuhalalisha uwepo wa upinzani bungeni.
Sasa ni lazima wawatetee watu wao
Walishasikilizwa na wakaandika utetezi wao katika rufaa unachagua kuandika ama kuongea. Walishasikilizwa Rufaa hata mahakamani hausikilizi upya unapitia hoja na ushaidi wa ngazi iliyopitaSasa kwanini kamati kuu ya chama hakutaka kuwasikiliza??
Hiyo ni ground tosha ya kutupilia mbali hayo maamuzi.
The right to a right to be heard ni fundamental.
Muhuni mwenyewe. Watu wajibebe mpaka bungeni kwa jina la chadema, halafu Chadema wakae kimya.
Huwezi kugomea wito wa MahakamaNingekuwa na maamuzi ndani ya CHADEMA nisingeenda hata mahakani.
Katiba inataka mbunge awe na chama. Nimewafukuza hao.
Si wanachama. Basi waendelee kuwalinda.
Mwenye miaka mia ni "20 years old handsome boy with 80 years of life experience". Usilisahau hiliHalima ni binti, au una miaka 100 nini?
Chadema sio mlalamikaji kwenye hiyo kesi. Yeye ni mlalamikiwa. Kwa kifupi jukwaa la utetezi limehamia mahakamani.Ningekuwa na maamuzi ndani ya CHADEMA nisingeenda hata mahakani.
Katiba inataka mbunge awe na chama. Nimewafukuza hao.
Si wanachama. Basi waendelee kuwalinda.
Kama huna Tunu ( Shani ) fulani kutoka kwa Mwenyezi Mungu kamwe huwezi kuwa Unatajwa kama hivi katika Threads za Kiakili na zinazoanzishwa na Watu wenye Akili kama huyu Mwamba aliyenitaja hapa.Swali la msingi:
Ukiwa umefunguliwa mashitaka Mahakamani, umepewa wito wa kwenda kwenye kesi ili pia upate fursa ya kusikilizwa kuona kama kweli una hatia ama la, lakini hutokei mahakamani na hivyo hukusikilizwa.
Je mahakama (ikiwa ndio chombo cha haki na huku ikifahamu una haki ya kusikilizwa ) itaendelea kutoa hukumu dhidi yako ama itabaki kukusubiri hadi siku utakayotaka mwenyewe kwenda ili ikusikilize kwanza ndipo ihukumu?
Majibu mazuri ya hili swali yanaweza kuwa msaada kwenye mjadara huu.
Roving Journalist
GENTAMYCINE
Linguistic Pascal Mayalla CHADEMA
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Hakustahili, mara mia angepewa Zungu na ndie tulimuona anafaa ila sio huyu!Hapo wasema kweli. Tulia aliokotwa Jalalani kwa Mwanasheria Mkuu wa serikali. Sijui alimuibuaje au alikuwa chakula chake maana kila mwenye akili anajiuliza huyu Magufuli alimtoa wapi na kwa sababu gani! Kwa vigezo vipi Kama siyo vyupi
Ila kwa hii case, hiyo hatua unayoisubiria inaweza kuja kutokea 2025 huko........Hii kesi itakuwa nzuri sana mbele ya safari hao parties wakianza kujitetea, hasa mwanasheria mkuu wa serikali na mwenyekiti wa tume.
Zile forgery, na yale majina ya kina Mdee tujue nani walipeleka kwa tume, naona zike aibu za kesi ya mchongo ya Mbowe zinaenda kujirudia, wajinga hawajifunzi.
Kigaiya ameielezea vizuri hii! kama hakuna delaying tactics, wanapigwa vibaya sana na aibuKwenye hati ya mashtaka - Halima mdee analalamika kwamba anataka kubalia na Ubunge sababu kuu ni kwamba Jina lake lilipitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kihalali kama wale covid wengine.
Hajaongelea chochote kuhusu namna jina lilivyofika Tume toka CDM.
Kazi ipo.
Halafu kwanini chamber summons ziko mbili mkuu?Sasa ushauri utatoaje wewe wakati ni paralegal...picha linaanza chamber summons imequote misc application no 16 wakati ni 13
Gone get tough ............Nao watafurahi, maana hao wameshajitoa ufahamu. Let it be documented, ikitokea mabadiriko ya serikali kuwe na kumbukumbu ya kuwaadabisha kwa matumizi mabaya ya ofisi INCLUDING NA MAJAJI WANAOTOA HUKUMU ZA WAZI KUWA HII NI DELIBERATE UKIUKWAJI WA HAKI