Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

Ngoja tuone

Naipitia kwa uangalifu mkubwa ili nitoe ushauri wa kitaalamu kwa ama Chadema au Mahakama

Halima Mdee kabebeshwa msalaba mzito sana yule binti!
Sasa ushauri utatoaje wewe wakati ni paralegal...picha linaanza chamber summons imequote misc application no 16 wakati ni 13
 
Ningekuwa na maamuzi ndani ya CHADEMA nisingeenda hata mahakani.

Katiba inataka mbunge awe na chama. Nimewafukuza hao.

Si wanachama. Basi waendelee kuwalinda.
AKILI YAKO IMEISHIA HAPO- IMPUNITY HAS NO ROOM IN 21ST CENTURY
 
Ngoja tuone

Naipitia kwa uangalifu mkubwa ili nitoe ushauri wa kitaalamu kwa ama Chadema au Mahakama

Halima Mdee kabebeshwa msalaba mzito sana yule binti!
SANA. Toka kuwa mpambanaji wa haki na demokrasia, kuibiwa uchaguzi kwa mabavu mchana kweupe hadi kugeuzwa kibaraka wa mtesi wako! Halima leo anasimama na CCM kupambana na CHADEMA iliyomlea! Sidhani kama alitegemea ipo siku atafika huku.

Heshima yake imeporomoka kote: CHADEMA na CCM. CCM waliokuwa wanamnywea akiongea bungeni enzi za CDM, siku hizi wanamuona kama panya aliyelowa dizeli - hata aongee point nzito kiasi gani. This debacle notwithstanding, I still have sincere sympathy for her.
 
Sasa kwanini kamati kuu ya chama hakutaka kuwasikiliza??

Hiyo ni ground tosha ya kutupilia mbali hayo maamuzi.

The right to a right to be heard ni fundamental.
Walishasikilizwa na wakaandika utetezi wao katika rufaa unachagua kuandika ama kuongea. Walishasikilizwa Rufaa hata mahakamani hausikilizi upya unapitia hoja na ushaidi wa ngazi iliyopita

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Muhuni mwenyewe. Watu wajibebe mpaka bungeni kwa jina la chadema, halafu Chadema wakae kimya.

Nani alitia saini na muhuri wa Chadema mpka akina Halima mdee wakaonekana kwamba ndio wateuzi wa Chama,na kwann wawe akina halima tu wasiwe wengine?,kama hauna majibu kamtafte mbowe!!
 
Swali la msingi:

Ukiwa umefunguliwa mashitaka Mahakamani, umepewa wito wa kwenda kwenye kesi ili pia upate fursa ya kusikilizwa kuona kama kweli una hatia ama la, lakini hutokei mahakamani na hivyo hukusikilizwa.

Je mahakama (ikiwa ndio chombo cha haki na huku ikifahamu una haki ya kusikilizwa ) itaendelea kutoa hukumu dhidi yako ama itabaki kukusubiri hadi siku utakayotaka mwenyewe kwenda ili ikusikilize kwanza ndipo ihukumu?

Majibu mazuri ya hili swali yanaweza kuwa msaada kwenye mjadara huu.
Roving Journalist
GENTAMYCINE
Linguistic Pascal Mayalla CHADEMA

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Ningekuwa na maamuzi ndani ya CHADEMA nisingeenda hata mahakani.

Katiba inataka mbunge awe na chama. Nimewafukuza hao.

Si wanachama. Basi waendelee kuwalinda.
Huwezi kugomea wito wa Mahakama
 
Kwenye hati ya mashtaka - Halima mdee analalamika kwamba anataka kubalia na Ubunge sababu kuu ni kwamba Jina lake lilipitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kihalali kama wale covid wengine.

Hajaongelea chochote kuhusu namna jina lilivyofika Tume toka CDM.

Kazi ipo.
 
Ningekuwa na maamuzi ndani ya CHADEMA nisingeenda hata mahakani.

Katiba inataka mbunge awe na chama. Nimewafukuza hao.

Si wanachama. Basi waendelee kuwalinda.
Chadema sio mlalamikaji kwenye hiyo kesi. Yeye ni mlalamikiwa. Kwa kifupi jukwaa la utetezi limehamia mahakamani.
 
Swali la msingi:

Ukiwa umefunguliwa mashitaka Mahakamani, umepewa wito wa kwenda kwenye kesi ili pia upate fursa ya kusikilizwa kuona kama kweli una hatia ama la, lakini hutokei mahakamani na hivyo hukusikilizwa.

Je mahakama (ikiwa ndio chombo cha haki na huku ikifahamu una haki ya kusikilizwa ) itaendelea kutoa hukumu dhidi yako ama itabaki kukusubiri hadi siku utakayotaka mwenyewe kwenda ili ikusikilize kwanza ndipo ihukumu?

Majibu mazuri ya hili swali yanaweza kuwa msaada kwenye mjadara huu.
Roving Journalist
GENTAMYCINE
Linguistic Pascal Mayalla CHADEMA

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Kama huna Tunu ( Shani ) fulani kutoka kwa Mwenyezi Mungu kamwe huwezi kuwa Unatajwa kama hivi katika Threads za Kiakili na zinazoanzishwa na Watu wenye Akili kama huyu Mwamba aliyenitaja hapa.

Asante Mkuu na Asante Mwenyezi Mungu. Na najua baada ya Kunitaja hapo Kuna Watu Wameumia ( Wamechukia ) ile mbaya na wapo ambao nina uhakika wameshaihusisha hi ID yako kuwa ni Mimi Mwenyewe na hapa Nimejipakulia tu Minyama.
 
Hapo wasema kweli. Tulia aliokotwa Jalalani kwa Mwanasheria Mkuu wa serikali. Sijui alimuibuaje au alikuwa chakula chake maana kila mwenye akili anajiuliza huyu Magufuli alimtoa wapi na kwa sababu gani! Kwa vigezo vipi Kama siyo vyupi
Hakustahili, mara mia angepewa Zungu na ndie tulimuona anafaa ila sio huyu!
 
Hii kesi itakuwa nzuri sana mbele ya safari hao parties wakianza kujitetea, hasa mwanasheria mkuu wa serikali na mwenyekiti wa tume.

Zile forgery, na yale majina ya kina Mdee tujue nani walipeleka kwa tume, naona zike aibu za kesi ya mchongo ya Mbowe zinaenda kujirudia, wajinga hawajifunzi.
Ila kwa hii case, hiyo hatua unayoisubiria inaweza kuja kutokea 2025 huko........
 
Kwenye hati ya mashtaka - Halima mdee analalamika kwamba anataka kubalia na Ubunge sababu kuu ni kwamba Jina lake lilipitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kihalali kama wale covid wengine.

Hajaongelea chochote kuhusu namna jina lilivyofika Tume toka CDM.

Kazi ipo.
Kigaiya ameielezea vizuri hii! kama hakuna delaying tactics, wanapigwa vibaya sana na aibu
 
Nao watafurahi, maana hao wameshajitoa ufahamu. Let it be documented, ikitokea mabadiriko ya serikali kuwe na kumbukumbu ya kuwaadabisha kwa matumizi mabaya ya ofisi INCLUDING NA MAJAJI WANAOTOA HUKUMU ZA WAZI KUWA HII NI DELIBERATE UKIUKWAJI WA HAKI
Gone get tough ............
 
Back
Top Bottom