Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

Epstein alikuwa anaisadia DP World kupata port deals in Nigeria……

Epstein files zinaonyesha bayana kuwa DP world ni kampuni ya kihuni na inanuka rushwa.
Kuna siri gani baina ya serikali haramu ya aaamu ya 6 na DP world mpaka kupewa deal la bandari ya Dar es salaam?


View: https://x.com/MazMHussain/status/2023453808752214096
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…