Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

Mnemba ni kisiwq cha raha kipo Kusini magharibi mwq Unguja. Nq unatakiwa ubook chunba siku 4 kabla na deposit in advance. Ni sehem flan expensive sana kwa zazibar. Suala la kusafirisha watoto bado najiuliza. Watoto hawa mnemba wanaingia vip
Asante kwa taarifa mkuu 'Kalaga', Kwenye hicho kisiwa kuna kiwanja cha ndege za matajiri hawa?

Swala la watoto kuingia mbona ni rahisi sana. Hao wateja wa kisiwa hicho si umesema ni matajiri sana?
Sasa anzia hapo. Nyenzo ya kuwapata hao watoto tayri ipo.

Au labda useme sijaelewa linalokutatiza wewe kuhusu hao watoto; vinginevyo sioni tatizo kabisa kuwapata watoto; na siyo lazima wawe watoto wa hapa hapa Tanzania angalau kwa sasa.
 
Ulazima wq watoto wa kitanzania uomdoe mana mnemba naifham mkuu, ni very expensive. N upatikanaj wa slot ya stay or day visit mchakato ni mref sana.
 
Ulazima wq watoto wa kitanzania uomdoe mana mnemba naifham mkuu, ni very expensive. N upatikanaj wa slot ya stay or day visit mchakato ni mref sana.
Naona huelewi kinachowezekana; pamoja na ufahamu wako juu ya hiyo Mnemba.

Matajiri hawana muda wa kwenda mitaani kutafuta hao watoto.
Wakiwataka watoto wa kiTanzania, si ajabu wewe mwenyewe utakuwa ni wakala wa kuwatafuta hao watoto; na huhitaji kuweka tangazo kuwa unatafuta watoto wakafanyiwe uchafu Mnemba!
 
Yani kila kitu kimetukalia vibaya kama nchi!! Kila siku zinaibuka taarifa mbaya za hovyo hovyo tu,ni dhahiri kwamba huu utawala wa ccm hauna baraka popote pale la kwa shetani
 
Upo sahihi, uhalifu wa kingono ni sehemu kubwa na muhimu katika mafaili ya Epstein, lakini skendo hapa ni zaidi ya uhalifu wa kingono.

Wale ambao ndugu Polepole alikuwa anawaita wahuni, katika mafaili haya tumewaona katika viwango vya kimataifa jinsi wanavyo operate. Ni unafiki mtupu, ubaguzi, unyonyaji, dharau na kadhalika.

Hapo kwenye movies, umenikumbusha sinema ya Van Damme (1993), Hard Target. Yale mambo unaweza kudhani ya kufikirika lakini kumbe kuna billionea flani anafanya maujinga kama yale.
 
BTW wajuaji wanasema hii kashfa inaweza kuondoka na UK PM, Keir Starmer.
Trump naye baada ya November 2026, wakishindwa uchaguzi lazima, Dems wamshughulikie.
 
Prove!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…