Hawana ubavu wa kudeal na matajiri wa dunia. Wathubutu ccm itolewe madarakani.TISS na Polisi wako bize kuwateka,kuwatesa,kuwaua Chadema na wakosoaji wa serikali na kuacha nchi ikinajisiwa kiasi hiki.
Ndio huyo huyo Dokta.Huyu Oprah ni yule Maka maarufu aliyekuwa na Show za Watoto zilizovuma au mwingine.?
Wabongo kwa siasa Tu hamjambo, Uzi wa wa watu mshauharibu mnajaza siasa, eti na wewe ni platinum member unashindwa kweli hata kujua Timeline ya Epstein?Wakati huu siyo lazima uvalishwe minyororo mkuu 'Malaika'; tayari tunatengenzwa kuwa taifa la watwana, wewe huoni?
Hawa machawa wote ni kitu gani; akina Kabuti Kalamaganda, wewe unafikiri hao ni watu kamili wanaotambua ubinaadam wao.
Wamasai kuhamishwa Ngorongoro na kupelekwa Handeni wakihadaiwa kujengewa vibanda; nchi hii tulitafuta uhuru kutendewa hayo?
Unataka nikutajie mifano mingapi ya jinsi tunavyoingizwa kwennye utwana ndipo uelewe kuwa tayari tumo kwenye mkondo huo?
Tanzania ina private island nyingi Sana kama hio Mnemba, Thanda ya Mafia, Lazy Lagoon karibu na Bagamoyo, Chapwani etcAiseee kumbe kuna visiwa huko vina mambo ya ajabu
Mkuu kuelewa unatakiwa ujue lengo lao hao jamaa ni nini. Huyo hana tofauti na P diddy na ma agent wengine wa hao wakubwa wa Dunia.Mmmh hapo sijaelewa Mkuu,wanamla au ni pambo tu ktk meza
Hii Thanda ndio mara ya kwanza kuisikia, hii nchi kumbe ina uzuri wake aisee!Tanzania ina private island nyingi Sana kama hio Mnemba, Thanda ya Mafia, Lazy Lagoon karibu na Bagamoyo, Chapwani etc
Hizo private island zinajiendesha zenyewe, mfano hapa Thanda wanaiongelea as if ni South Africa
Travel Advice - Thanda
Get essential travel advice for your journey to Thanda. Learn about visas, health recommendations, packing tips, and other important travel information.thanda.com
Hiko ni kisiwa kipo Tanzania hapo Mafia ILa kinamilikiwa na kampuni ya south Africa.
Thanda ni katika top 10 Dunia nzima hotel ghali zaidi Duniani, kama milioni 100 hivi kwa sikuHii Thanda ndio mara ya kwanza kuisikia, hii nchi kumbe ina uzuri wake aisee!
Kudadeki , kweli DuniaMkuu kuelewa unatakiwa ujue lengo lao hao jamaa ni nini. Huyo hana tofauti na P diddy na ma agent wengine wa hao wakubwa wa Dunia.
Ili uwe tajiri ama kiongozi mkubwa kuna possibility kubwa upitishwe hapo Kwanza, unambandua mtoto, unakula MTU ama kitu chochote kile ili waweze kuku controll,
So unapokua madarakani ama mwanamuziki mkubwa ama sehemu yoyote Ile ya kutoa maamuzi inakua rahisi kwao kukuforce ufanye maamuzi wanayotaka wao.
So hio ni blackmail, viongozi wengi wakubwa wa West lazima wapitie humo.
Tanzania, tumo kwenye hali mbaya sana katika eneo hili kwa wakati huu; hata Burundi ni nafuu kuliko tulivyo sisi.. DRC wanajulikana kwa hali yao ya siku zote, wakati sisi ndiyo kwanza tukiporomoka kwa haraka sana kuwazidi.Yani kila kitu kimetukalia vibaya kama nchi!! Kila siku zinaibuka taarifa mbaya za hovyo hovyo tu,ni dhahiri kwamba huu utawala wa ccm hauna baraka popote pale la kwa shetani
Unataka ni'prove' kitu gani mkuu 'Kalaga'?Prove!
Unaonyesha ukilaza wa ajabu sana wewe. kama hujui kwamba Samia Suluhu Hassan ni zao la uchafu huo huo ulioanzia huko unakokujuwa wewe.Wabongo kwa siasa Tu hamjambo, Uzi wa wa watu mshauharibu mnajaza siasa, eti na wewe ni platinum member unashindwa kweli hata kujua Timeline ya Epstein?
Kama hufahamu
1. Epstein amefariki toka 2019
2. Ameanza kushatakiwa toka 2005
So unaongelea mambo ambayo yametokea miaka 20 iliopita, yanahusiana nini na Royal Tour ama viongozi wa sasa?
Kwa mantiki hio hata Mimi na wewe ni zao la huo uchafu, hoja ya kipuuzi kabisa umejibu.Unaonyesha ukilaza wa ajabu sana wewe. kama hujui kwamba Samia Suluhu Hassan ni zao la uchafu huo huo ulioanzia huko unakokujuwa wewe.
Sasa unataka nikupe wewe u-platinum' kwa akili mbovu isiyojuwa kudadisi chochote?
Hata huyo 'Mwajuma' mbele za watu anaona aibu kuwa wewe ni baba yake kwa akili mbovu kama hizi.
Inalipwa hapa hapa Tanzania?Thanda ni katika top 10 Dunia nzima hotel ghali zaidi Duniani, kama milioni 100 hivi kwa siku
JidanganyeSioni kama haya yanatuhusu kwa kweli. Kuna mambo ya kufuatilia kama Taifa lakini mambo ya starehe za watu tuachane nayo.
As long as tulipata mapato halali ya utalii hayo mengine siyo shida zetu. Tuna mengi ya kufanya
Hio haituhusu Sisi tunalipwa Tu gharama ya kukodi na mwekezaji, anachopata yeye ni chake mwenyewe.Inalipwa hapa hapa Tanzania?