Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 720
- 1,995
Kwani uvaaji wa nguo umeiga wapi kama sio kwa mabeberu?Mabeberu wamewaharibu ninyi co siri,, sasaiv mnaiga everything kutoka kwao. Mwanaume halisi mwenye kujitambua awezi kupingana na mwamba.
UgaidiHalafu watapelekwa mahakamani kwa shitaka lipi?
Ni mshamba huyo DCHaya ni MATOKEO ya MFUMO uliofeli, unazalisha VIONGOZI kama hawa na yule mwingine wa kujenga magaereza kila wilaya.
TANZANIA inahitaji complete system reform, bila hivyo huko tuendako.
#KATIBA MPYA#
Kwani uvaaji wa nguo umeiga wapi kama sio kwa mabeberu?
Tangu lini Tanganyika walikua na ustaarabu wa kutengeneza nguo?
Utamaduni wetu ulikua kuvaa magome kuficha sehemu za Siri swala la mavazi tumeiga huko kwa mabeberu.
Wew amabe hujaharibiwa na tamaduni za mabeberu rudi kuvaa ngozi na magome ya miti.
Kwa aliombwa ruhusaViongozi wote Tanzania waige mfano wa uyu mwamba.
Ukiruhusu uvaaji wa nguo fupi, inamaana ata watotowako na dadazako umeruhusu wavae ivyo.
Hata mi nimeshangaaAhh nlijua dar,arusha,mwanza, mbeya
Ova
UmeanzaaaUstaarabu tumeletewa na waarabu, na sio wazungu wanaowafundisheni ujinga na kufuata tamaduni zao za kinyambafu. Hivyo waarabu ndiyo wameleta ustaarabu mzee. Mungu awabariki waarabu.
FaizaFoxy, Mohamed Said n.k ukitaka mengi watakujuza.
HakikaTuna viongozi wa ajabu sana