JS Dairy Farm
JF-Expert Member
- Feb 13, 2022
- 331
- 744
- Thread starter
-
- #81
Siyo hayo, Ila yanaweza kuwa yanafanana kwa sababu Juncao ni matokeo ya utafiti kati ya nyasi jamii ya napier zinazopatikana Afrika .Juncao yamefanyiwa utafiti China,Afrika yameanza kuingia 2019.Tukuyu majani haya ......kila mwenye ng'ombe ...
Lazima apande ...coz husaidia Sana kwenye ulishaji wetu ( zero grazing)
Maajabu yake majani haya hustawi zaidi kipindi Cha kiangazi heavyweight [emoji23][emoji23]
Tukuyu majani haya tunaita ( kigugu).......
mbegu zinapatikana Kibaha,mtu anayehitaji tuwasiliane 0756625286,yanatumwa sehemu yoyote ya Tanzania.
Ni nyasi zinazotoa malisho mengi katika eneo dogo.Zinafanana na majani tembo lakini zenyewe ni matokeo ya mchanganyiko wa napier tofauti tofauti.
- Tunapandia na kukuzia mbolea?
- Zinahitaji kumwagiliwa maji mara ngapi kwa wiki?
- Nitapaswa kupanda mbegu mpya baada ya muda gani?
Unaweza kuweka mbolea ya kupandia ya samadi ya kukuzia itategemea na ubora wa ardhi yako,mimi siweki ya kukuzia.
- Tunapandia na kukuzia mbolea?
- Zinahitaji kumwagiliwa maji mara ngapi kwa wiki?
- Nitapaswa kupanda mbegu mpya baada ya muda gani?
Hapo kwenye maji majira ya kiangazi ndio ishu mzeeUnaweza kuweka mbolea ya kupandia ya samadi ya kukuzia itategemea na ubora wa ardhi yako,mimi siweki ya kukuzia.
Maji inategemea ardhi yako,mimi namwagilia mara 2 kwa wiki(kipindi cha ukame)ardhi ya shamba langu ni tifutifu,mche ukiwa mdogo naweka nusu lita kwa kila mche kwahiyo kwa wiki ni Lita moja, kadri machipukizi yanavyoongezeka naongeza na kiwango cha maji.
Zinapandwa mara moja tu,utakuwa unavuna kwa kuzikata na zitaendelea kuchipua.
Hapo kwenye maji majira ya kiangazi ndio ishu mzee
Kumbe somo linahitajika zaidi, nilidhani kama tulivyozoea kukatia ng'ombe majani na kuwapelekea kila siku..unatakiwa uwe na mfumo wa kupanda, kuvuna, na kuhifadhi.
..idea ni kuachana na mfumo wa kutembeza mifugo kutafuta malisho.
..juncao, napier, brachiaria, ni majani ya kupanda, kuvuna na kupeleka kwa mifugo, na ziada inahifadhiwa.
Kumbe somo linahitajika zaidi, nilidhani kama tulivyozoea kukatia ng'ombe majani na kuwapelekea kila siku
Joka Kuu mbegu za Brachiaria imepatikana, nitafute 0756625286...unaweza kukatia mifugo majani kila siku.
..challenge ni wakati wa kiangazi hivyo unalazimika kuhifadhi majani ya kutosha.
Kwa anayehitaji mbegu za Juncao na mbegu za nyasi kama Buffel na Rhodes,mbegu za mikunde na miti malisho tuwasiliane 0756625286.
Joka Kuu mbegu za Brachiaria imepatikana, nitafute 0756625286.
ZipoLucerne inapatikana?
Zote zipo.Ulokua nayo wewe no ya aina gani mulato au brinzatha?
Bei ya mbegu ni tsh 500.Mbegu unaweza kupanda ya chipukizi au cuttings.Mmeandikaa weee ila bei sijaona kwa ujazo wa nusu hekta au heka!?
Kwanini biashara za kibongo tunapenda bei mpaka nije inbox!?
Kwa sisi wafugaji wa open grazing itakuaje? Nikapanda heka 4 halafu nikaachia Ng'ombe 60 wakawa wanachunga kila siku yatafika?Siyo hizo.
Kuna aina nyingi za napier na zinafanana mf.bana grass, elephant grass nk.
Juncao pia ni napier lakini tofauti Juncao inatoa machipukizi mengi na malisho mengi katika eneo dogo.
Google: Juncao grass.
Hata mie nimeona kama masteria tu maana hata upandaji wake upo kama wa masteria.Tokea nakua naona yanapandwa kwa Bibi yangu Arusha.Yanakatwa yanalishiwa mifugo then yanachipua tena.Walikua wanayakuza kwa kunyweshea maji ya mfereji.Sio masteria haya!
Karibu na Dawasamlandizi sehemu gani ndug?
Hata mie nimeona kama masteria tu maana hata upandaji wake upo kama wa masteria.Tokea nakua naona yanapandwa kwa Bibi yangu Arusha.Yanakatwa yanalishiwa mifugo then yanachipua tena.Walikua wanayakuza kwa kunyweshea maji ya mfereji.
Kwa sisi wafugaji wa open grazing itakuaje? Nikapanda heka 4 halafu nikaachia Ng'ombe 60 wakawa wanachunga kila siku yatafika?