Nyasi za Juncao: Suluhusho la malisho ya ng'ombe, mbuzi na kondoo

Hata mie nimeona kama masteria tu maana hata upandaji wake upo kama wa masteria.Tokea nakua naona yanapandwa kwa Bibi yangu Arusha.Yanakatwa yanalishiwa mifugo then yanachipua tena.Walikua wanayakuza kwa kunyweshea maji ya mfereji.
Siteria ni tofauti sana na Juncao:Jina la kisayansi la siteria ni Setaria sphacelata na jina la kisayansi la Juncao ni Pennisetum purpureum XP.typhoideum .
Pia unaweza ku Google hii habari ipo kwenye tovuti ya SUA(ina maelezo kuhusu nyasi za Juncao): Ugandan ambassador visits SUA,commends the Juncao grass technology.
 
Asante kwa kunijuza nitafutilia zaidi kuhusu hii Juncao.
 
Things come in pair. +&-. Nini madhara ya hii mimea. Faida tumeziona tayari (+) tuone upande wa pili.(-)

Sorry JS Farms nilichelewa kuona huu uzi.
 
Haya majani yapo mengi sana huko Moshi na Arusha miaka mingi na yanapatikana maeneo ya milimani kidogo yangefanana na miwa ila yenyewe ina mche mwembamba waliozaliwa huko wanayajua vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…