Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mkuu kejeli km hizo zisikukatishe tamaa kwani kujitambua kwetu na kukataa kwetu kuendelea kudunishwa, kupuuzwa na kudharirishwa ni pigo kwao waliozoea kubebwa. Hivi sasa hakuna mwenye akili asiyefahamu kuwa manamba wa mashamba ya mkonge ya Tanga ndio walioandaliwa na nyerere, kuvamia zanzibar, kufanya mauaji ya kimbari na kisha kupindua dola.Kisa kudhibiti kuenea kwa uislam afrika mashariki na kukuza ustawi wa ukristo hususan wa kikatoliki.
kwel mohamed the facts speak by themselves, kama umetoa ushahd na bado m2 anatukana badala ya kujibu hoja
Aaaha! kumbe Kikwete alimtunuku Abdulwahid Sykes baada ya kusoma kitabu chako? Nafumbuliwa macho polepole.Nadhani ''fools writings'' umekusudia ''fool's writings.''
Juu ya kuwa yanaweza kuwa maandishi yangu ni ya ''mwandishi mjinga'' genius lazima ayasome kwanza ndipo atakapoweza kuyahukumu kama ni ya mtu mjinga.
Kukitazama kitabu tu gamba lake hatoweza kujua kilichomo.
Iwe itakavyokuwa.
Kitabu changu kimepata ''review'' mbili ndani ya Cambridge Journal of African History kutoka kwa mabingwa wa historia
ya Afrika - John Iliffe na Jonathon Glassman kutoka Cambridge University na Nortwestern University Chicago.
Haikuishia hapo ikafuatilia na mialiko kadhaa kutoka vyuo vikuu Marekani na Ulaya.
Nimealikwa Nortwestern University kuzungumza na katika wasikizaji na wauliza maswali alikuwa Prof. Jonathon Glassman.
Haikuishia hapo.
Mwaka jana Abdulwahid Sykes akapewa medali kama mpigania uhuru wa Tanganyika
baada ya kusahaulika kwa miaka 50.
Kitabu kimechangia sana katika kumtambua kuwa yeye ndiye chimbuko la TANU.
Bado.
Kitabu kinakwenda toleo la tatu Insha Allah.
Sasa mjinga nani?
Mimi mwandishi au wasomaji wangu?
Mzee Said, kwa vile huna majibu na umeamua kwaachia Wazanzibar wayajibu hii maana yake ni kuwa huwezi kutetea unachokisema.Swali la kwanza lingestahili kujibiwa na Babu mwenyewe. Mimi sijui kusudio lake labda nikisie tu.
Swali la pili. Sijatumia neno pandikizi wala Nyerere. Nilichosema ni kuwa makomredi hawakupindua
waliingia kazini siku ya pili.
a) Sina la kuwaambia
b) Huo ni uamuzi wa Wazanzibari wenyewe
Swali la tatu la uzalendo hilo ni swali lijibiwe na Wazanzibari wenyewe
Aaaha! kumbe Kikwete alimtunuku Abdulwahid Sykes baada ya kusoma kitabu chako? Nafumbuliwa macho polepole.
...umenitukana.
Hata hivyo nitakujibu.
Mimi kila nilichoandika kuhusu Nyerere nina ushahidi.
Kitabu changu "The Life and Times of Abdulwahid Sykes.." kimechapwa London mwaka 1998.
.
Nadhani ''fools writings'' umekusudia ''fool's writings.''
Juu ya kuwa yanaweza kuwa maandishi yangu ni ya ''mwandishi mjinga'' genius lazima ayasome kwanza ndipo atakapoweza kuyahukumu kama ni ya mtu mjinga.
Kukitazama kitabu tu gamba lake hatoweza kujua kilichomo.
Iwe itakavyokuwa.
Kitabu changu kimepata ''review'' mbili ndani ya Cambridge Journal of African History kutoka kwa mabingwa wa historia
ya Afrika - John Iliffe na Jonathon Glassman kutoka Cambridge University na Nortwestern University Chicago.
Haikuishia hapo ikafuatilia na mialiko kadhaa kutoka vyuo vikuu Marekani na Ulaya.
Nimealikwa Nortwestern University kuzungumza na katika wasikizaji na wauliza maswali alikuwa Prof. Jonathon Glassman.
Haikuishia hapo.
Mwaka jana Abdulwahid Sykes akapewa medali kama mpigania uhuru wa Tanganyika
baada ya kusahaulika kwa miaka 50.
Kitabu kimechangia sana katika kumtambua kuwa yeye ndiye chimbuko la TANU.
Bado.
Kitabu kinakwenda toleo la tatu Insha Allah.
Sasa mjinga nani?
Mimi mwandishi au wasomaji wangu?
Ndiyo, nililoona ni la Kikwete kwa sababu yeye ni rais Muislamu katika mfumo Kristo. Kwa hiyo baada ya kusoma kitabuHivi uloona ni hilo la Kikwete ingawa umenitilia maneno kinywani?
Unafahamu uzito wa kitabu kuingizwa katika Cambridge Journal?
Basi la kukushughulisha zingekuwa hizo ''reviews'' sio Kikwete na
medali ya Abdulwahid Sykes.
Inaelekea ndugu yangu wewe si mjuzi wa mambo haya.
Nimeona umenitukana.
Hata hivyo nitakujibu.
Mimi kila nilichoandika kuhusu Nyerere nina ushahidi.
Kitabu changu "The Life and Times of Abdulwahid Sykes..." kimechapwa London mwaka 1998.
Nyerere yu hai na alikisoma.
Sikusuburi afe ndiyo nizungumze habari zake.
Nimeona umenitukana.
Hata hivyo nitakujibu.
Mimi kila nilichoandika kuhusu Nyerere nina ushahidi.
Kitabu changu "The Life and Times of Abdulwahid Sykes..." kimechapwa London mwaka 1998.
Nyerere yu hai na alikisoma.
Sikusuburi afe ndiyo nizungumze habari zake.
Wewe ni mjinga tu, huna hekima wala focus. Your not used to constructive ideas for the better future of Tanzanians upcoming Generation.
Popote unaposikia jina la Nyerere nikama kichaa nayepandwa na wendwazimu kila mwezi mpevu
Huoni aibu kupingana na malehemu, mfu na asiyeexist, unaimba upumbavu muda wote, wewe na nyerere wala madudu ya huko mashariki ya kati huyaoni.
Ni mtu mpumbavu tu kama wewe hukesha kutwa kucha na mwalimu nyerere huna kazi wewe wala shukrani. hapo ulipo umekula umeshiba kwa amani na msingi mzuri aloujenga hayati mwali- Nenda somalia ambako hakuna mfumo kristo kama utatapika huu upuuzi wako na wasikukate kichwa kwa kutumia sharia
Kama siyo kichaa ni nini, maana kucha kutwa wewe na nyerere, huna hoja nyingine zaid ya kueneza chuki, uchochezi kwa hoja za kijinga na zisizo na mashiko, wala hujengi bali wewe nikubomoa tu ni moja ya wazee ovyo kabisa.
Unabwabwaja na nyerere tukikuuliza
-Somalia kumesambaratika alikuwepo nyerere huko? unazunguuka mbuyu kama hakuwepo nani bora kati ya tanzania na Somalia?
-Sudani hali ni mbaya daful nakwingineko wanauwana kama kuku nyerere alikuwepo huko?
-Syria wanachinjana kama vichaa, tena wote waarabu wa dini moja kuna nyerere huko, huwezi kujibu zaidi ya uzandiki na ushenzi
-Nigeria na boko haramu unamaana nyerere ndiyo muasisi wa wauwaji wale
-Tunisia na vurugu zao Nyerere ndiyo aliewachonganisha?
-maisha magumu ya wamalawi na wakongo nyerere ndiyo source eti?
-Labanoni, misri nk kote huko yuko nyerere
Ewe mzee ulokosa hekima, bora kukaa kimya kuliko kututia kichefuchefu hapa, huna hoja na njaa zako siku zote huponea kwa jina la mwl nyerere.
Nikwanini huoni aibu kuibomoa jamii ya watanzania na umekuwa sumu kuchochea, kuhamasisha
na kupotosha watanzania pumbavu watch your back. Kama wewe umevembiwa amani sisi na
watoto wetu tunahitaji amani kwa kuishi pamoja waislam na wakristu, wasioamini na waamnio
wote kwa amani umoja na utulivu nenda somalia au syria ukaendeleze harakati zisizo na tija.
Wewe Mzee hicho kitabu ndio Msahafu? Akitokea mwingine akaandika jinsi Nyerere alivyoudidimiza Ukristo Tanganyika utakubali?
Nyerere alitaifisha skuli za Kanisa ili msome lkn bado mnamlaani al Marhum.
Kila mkoa kuna shule ya Kanisa, ilitaifishwa, zenu zilitaifishwa ngapi?
Unafiki tu!
Mwalimu atakuwa alisoma na akaipuuza tu. Kwani hata manabii na mitume walipewa kashfa na matusi zaidi ya haya. Pili kuchapishwa London ina maana ni kizuri, hasa kwa kuchambua/kufundishia, aidha nicha kisomi sana au kipuuzi mno ili wapewe wanafunzi wakiidadavue kutoa madudu kimasomo zaidi. ADUI MPENDE
bingwa wa historia ya afrika hawezi kuwa mzungu njoo na gia ingine hao watakuwa wajinga wa historia ya afrika, sasa tuzo za jk nazo zina credibility yoyote, ni religiuos zealot kama wewe akili yake hawezi kufanya kazi nje ya boksi la dini, tarehe 9 disemba aliwahi kumpa tuzo bi kidude ya uhuru wa tanganyika kama msanii aliyechangia upatikanaji wa uhuru wa tanganyika, very stupid.
Kitabu hakikuwa kitabu cha kipuuzi.
Wasomi maarufu katika Historia ya Afrika John Illife (Cambridge University) na Jonathon Glassman (Northwestern University) walikifanyia review ndani ya Cambridge Journal of African History.
Mwaka 2011 nilialikwa University of Iowa na Northwestern ambako nilifanya mihadhara kuhusu kitabu changu.
Nilialikwa Ujerumani vilevile Zentrum Moderner Orient (ZMO) Berlin ambako nilitoa muhadhara pia.
Uthibitisho wa Njama Dhidi ya Uislam
Hivi sasa kuna vitabu viwili vilivyoandikwa na Wakristo wenyewe vinavyothibitisha kuwa Wakristo wametumia nyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Waislam.
Jan P van Bergen katika kitabu chake, ''Development and Religion in Tanzania,'' (1981) [1] ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Rais Mstaafu, Nyerere dhidi ya Uislam na Waislam.
Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwa madarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuweka mikakati ya kuupa nguvu Ukristo.
Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishia viongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo. Kitabu hicho kinaeleza jinsi Nyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapa Wakristo nafasi za juu katika serikali na chama.
Kitabu hiki kilikuwa kinauzwa Catholic Bookshop, Dar es Salaam. Lakini ilipokuja kudhihirikia Kanisa kuwa kitabu hiki kilikuwa kinatoa habari nyeti na siri za Kanisa kuhusu njama dhidi ya Waislam, kwa haraka sana kikaacha kuuzwa. [1]
Hadi hivi sasa kitabu hicho ni marufuku kuletwa tena Tanzania. Kitabu cha pili ni cha Dr John C. Sivalon, ''Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985'' (1992). [1]
Kitabu hiki kinaeleza njama ndani ya serikali kuuhujumu Uislam. Sivalon anafichua kuwa kuanzia mwaka 1961 baada ya Tanganyika kupata uhuru, Kanisa lilikuwa na hofu mbili. Hofu ya kwanza ilikuwa umoja wa madhehebu za Kiislam kati ya Sunni, Bohora, Ismailia na Ithnasheri. Hofu ya pili ilikuwa kuhamishwa kwa makao makuu ya EAMWS kutoka Mombasa kuja Dar es Salaam.
Kanisa lilikuwa linahofu kuwa mali walizokuwanazo Waasia Waislam zikitiwa katika harakati za Waislam ambao walikuwa na nguvu kubwa katika uwanja wa siasa zitaathiri maslahi ya Ukristo katika Afrika ya Mashariki. Kwa ajili hii Kanisa likatanganza kuwa Uislam ni adui wake na ikaanza mikakati ya hujma dhidi ya Uislam ili kuudhoofisha. [1]
Kuna kazi mbili zilizoandikwa na Waislam kuhusu uhusiano baina ya serikali na Waislam. Kazi ya kwanza ni tasnifu ya Kiwanuka, ''The Politics of Islam in Bukoba District'' (1973); [1] kazi ya pili ni makala ya utafiti ''Islam and Politics in Tanzania'' (1989) [1] iliyoandikwana mwandishi wa kitabu hiki.
Ilikuwa baada ya kusoma tasnifu ya Kiwanuka na kuona jinsi ukweli wa kuvunjwa kwa EAMWS kulivyopoteshwa ndipo kama Muislam na kama ada ya Uislam inavyodai kuwa pande mbili za mgogoro zote lazima zisikilizwe, ndipo nilipoamua kufanya utafiti na kuandika tatizo lile kwa mtazamo wa Waislam.
Ukweli ambao kwa miongo miwili ulizuiwa usifahamike kwa Waislam.
Bado unaendeleza umbumbu wako kuhusu mwalimu na uchonganishi wa waislam na wakristu
Hebu tusaide nani anahujumu wasomali na uislam wa wasomali? kama tanzania walihujumiwa na nyerere huko somalia anawahujum nani? na mfumo gani umewafikisha hapo walipo hivi sasa.
The new generation of Muslims no longer believe in the official history of TANU and the propaganda that it was Nyerere who single handed defeated the British.
Muslims instead are honouring the forgotten heroes of independence movement and in so doing invoking emotions particularly in the new generation to stand up against oppression as their forefathers had done against Germans and the British.
Muslim heroes of the Maji Maji War like Suleiman Mamba, Ali Songea Mbano,[1] and Muslim nationalists like Abdulwahid [2] and Ally Sykes,[3] Dossa Aziz, Sheikh Hassan bin Amir,[4] Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Yusuf Badi, Bibi Titi Mohamed,[5] Bibi Tatu bint Mzee, Bilali Rehani Waikela,[6] Ali Migeyo[7] and others are now part of nationalist history which was suppressed for many years.[8]
[1]In all historical references to Maji Maji War hero and Chief of Wangoni Ali Songea Mbano, his Muslim name "Ali" would be omitted and he would be referred to as Songea Mbano.
[2] Mohamed Said, The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 –1968), The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika Minerva Publishers, London, 1998.
[3]Mohamed Said, Broken Dreams, The Life of Ally Kleist Sykes, Phoenix Publishers, Nairobi 2011 (Forthcoming).
[4]Issa Ziddy, Sheikh Hassan bin Ameir (1880-1979). Also See Mohamed Said, "Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968)" (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004.
[5]Bibi Titi was recruited into TANU by Schneider Abdillah Plantan and began to mobilize people particularly women to join the party even before he came to know Nyerere.
[6]Bilali Rehani Waikela one of the TANU founder members in Western Province in 1955 and Regional Secretary of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) was detained by Nyerere in 1964 for "mixing religion and politics." His personal papers were of great help in understanding the EAMWS crisis of 1968 and the reasons why Nyerere detained prominent sheikhs banned and the society in 1968. A documentary of his political life has been made and although not officially recognized as a patriot Muslims now consider him as one of the heroes of the independence movement. For more information see Mohamed Said, "In Praise of Ancestors," Africa Events (London) March/April 1977.
[7] G. Mutahaba, Portrait of a Nationalist: The Life of Ali Migeyo, East African Publishing House, 1969.
[8] Maji Maji Museum in Songea which has been greatly desecrated removing all signs of Muslim symbols during the Maji Maji War with Germans. The Maji Maji Museum at Peramiho under the Catholic Church has closed its doors to young Muslims for fear of criticism for distorting history. All Muslim symbols in Maji Maji War against Germans have been obliterated in the Maji Maji Museum.