Nyerere alikurupuka kuleta mfumo wa Muungano ambao haupo sehemu yoyote Duniani, na hakuna nchi itakayojaribu kuiga

Nyerere alikurupuka kuleta mfumo wa Muungano ambao haupo sehemu yoyote Duniani, na hakuna nchi itakayojaribu kuiga

Hilo takwa la huo uzalendo mbona ni very divisive??
Mbona kila muungano huo unapoguswa kunaibuka makelele mengi?
Muundo uliopo wa muungano ni chaka lenye makandokando lukuki.

Wito kwenu "wazalendo" boresheni muundo. Nchi iwe moja. Serikali moja!
Tofauti ni hapo tunaandaa time bombs 💣💣
Huko ndiko tunakokwenda.
P
 
Kama bahari sio rasilimali muhimu, basi mimi naishia hapa mkuu.
Hatakama ni muhimu kwani bara hakuna hiyo bahari katika ukubwa wake!? Tanga , bagamoyo, dar, mafia kote huko hapatoshi ila zanzibar tu ndo patamu!?
 
Ni nani aliomba kuungana na mwenxake kati ya Zanzibar na Tanganyika?

Samahani lakini mkuu P!
Hakuna aliyeomba, Ila kuna kabinti fulani, baada ya kumfurusha mvamizi fulani kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kakahofia aliyepinduliwa atarejea, hivyo kakakimbilia bara na kuja kujibebisha kwa jibaba Tanganyika kakiomba ulinzi, ndipo Mwalimu akamshauri, ili tusionekane tumepeleka majeshi yetu kuvamia nchi nyingine, akashauri kabinti kakubali kuolewa, kakakubali hapo hapo, ndoa ikafungwa April 26, 1964, tukawa kitu kimoja, wamoja.
P
 
Sasa Nyerere si alishafariki?
Omk
O
Nyie mmeshidnwa nini kubadili pkkkili kuweka mfumo mnaouona bora?

Kinachowasumbua ni ukosefu wa akili tu, amueni mnachoona kinafaa kama kweli mna akili. Nyerere alimaliza muda wake mbona aliyoyaanzisha mengi mmeyafuta, hili linawashinda nini?
Ha ha ha!
Mkuu watu wana ujuzi wa kulaumu tu, kujenga umoja hata na majirani wa kuombana chumvi hawajui kabisa.
 
Back
Top Bottom