britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Kumchinja kobe yataka timingAisee! Nchimbi ananiangusha sana. Kwanini asiuangushe huo mgomba fasta? Kachro bobezi linakwama wapi hili?
Asante mdau...Jumapili ni tulivu! Pamoja na kwamba Tuna PM wa mchongo, na wakati huo Namba moja na Namba mbili hawapatani wanaogopa kutiliana sumu tuangalie hapa chini
Haina ubishi wote mliokuwapo wakati wa Nyerere alikuwa dictator Lakin mwenye akili natoa mifano michache tu
1. Mzee mtei aliachana naye kwa kutofautiana kwa sera Lakin akaachwa tu na wakaendelea kuwa wanasiasa wanaoheshimiana, pamoja na mtei kukosoa sera zote za mwalimu hadi ku resign lakin ilikuwa ni busara tu za kuamini katika kutofautiana, Swali kwa Magufuli au Samia unaweza andika hata barua ya kuacha kazi bila kufuatwa na wasiojulikana na kukupa vititsho au kukupoteza kabisa ? Nakumbuka wakati wa Magufuli kuna mtu alikataa uteuzi ikabidi awajibishwe kabisa na kuambiwa mtoro kazini na anasakwa! Lakin kwa Nyerere tumeona akitotofautiana na mtei,
2. Nyerere alikataliwa na Warioba kwa baadhi ya sheria na akasema kama ni hivi basi najiuzulu, Lakin leo hii hakuna mwanasheria wa SERIKALI Anaweza tofautiana na Rais wakawa SALAMA , tuna mifano ya Ummy Mwalimu, Ndugai, Hata Tulia kwa sasa weka mbali akina Mpango na Majaliwa Lakin ukweli ndo huo !
3. Mwaka 1982 Vijana waliiteka ndege ya Tanzania na kuipeleka uingereza , nauliza kwa sasa unaweza teka hata basi tu la mwendo kasi? Ukaachwa SALAMA ??
Nyerere alisikiliza Hoja za vijana na baadae akazifanyia kazi baadhi Lakin hakuwa na jaziba kuwasaka na kuwaua!
4. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza miaka ya 1980 Mzee Abdunuru Suleiman walitofautiana na Nyerere hata kwa kuonekana hatii maagizo ya Nyerere na akawekwa pembeni wala hakuambiwa kwamba awekwe kizuizini au auwawe! Lakin kwa sasa ni Hatari zaidi
Mkapa nimemuweka maana alitofautiana na baadhi Ila hakuwaua!
Ila JPM, SAMIA, JAKAYA, hawa ni madikteta wanaojifanya kucheka Lakin wanaua watu
Tunataka katiba nzuri na pia Taasisi za kuweza kuisimamia na kumsimamia kila mtu
Britanicca
Kama wasaidizi waliweza kumpinga unasemaje alitawala mbumbumbu, Nyerere ndiye Rais pekee aliyekutana na majaribio ya kweli ya kutaka kupinduliwa, unasemaje alitawala mbumbumbu?Tusijidanganye Nyerere alitawala mbumbumbu ndiyo maana hakupata misukosuko
Tuwaonee huruma Hawa watawala wa Sasa mfumo unawafosi kutawala kikondoo wkt watu washanda shule
Nyerere alitawala watu.smart sana. sasa waliosoma.ulaya sasa ndondocha zimekuwa nyingiTusijidanganye Nyerere alitawala mbumbumbu ndiyo maana hakupata misukosuko
Tuwaonee huruma Hawa watawala wa Sasa mfumo unawafosi kutawala kikondoo wkt watu washanda shule
Kudai jakaya ni dikteta ni kuondoa umaana mdogo kwenye mada yakoJumapili ni tulivu! Pamoja na kwamba Tuna PM wa mchongo, na wakati huo Namba moja na Namba mbili hawapatani wanaogopa kutiliana sumu tuangalie hapa chini
Haina ubishi wote mliokuwapo wakati wa Nyerere alikuwa dictator Lakin mwenye akili natoa mifano michache tu
1. Mzee mtei aliachana naye kwa kutofautiana kwa sera Lakin akaachwa tu na wakaendelea kuwa wanasiasa wanaoheshimiana, pamoja na mtei kukosoa sera zote za mwalimu hadi ku resign lakin ilikuwa ni busara tu za kuamini katika kutofautiana, Swali kwa Magufuli au Samia unaweza andika hata barua ya kuacha kazi bila kufuatwa na wasiojulikana na kukupa vititsho au kukupoteza kabisa ? Nakumbuka wakati wa Magufuli kuna mtu alikataa uteuzi ikabidi awajibishwe kabisa na kuambiwa mtoro kazini na anasakwa! Lakin kwa Nyerere tumeona akitotofautiana na mtei,
2. Nyerere alikataliwa na Warioba kwa baadhi ya sheria na akasema kama ni hivi basi najiuzulu, Lakin leo hii hakuna mwanasheria wa SERIKALI Anaweza tofautiana na Rais wakawa SALAMA , tuna mifano ya Ummy Mwalimu, Ndugai, Hata Tulia kwa sasa weka mbali akina Mpango na Majaliwa Lakin ukweli ndo huo !
3. Mwaka 1982 Vijana waliiteka ndege ya Tanzania na kuipeleka uingereza , nauliza kwa sasa unaweza teka hata basi tu la mwendo kasi? Ukaachwa SALAMA ??
Nyerere alisikiliza Hoja za vijana na baadae akazifanyia kazi baadhi Lakin hakuwa na jaziba kuwasaka na kuwaua!
4. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza miaka ya 1980 Mzee Abdunuru Suleiman walitofautiana na Nyerere hata kwa kuonekana hatii maagizo ya Nyerere na akawekwa pembeni wala hakuambiwa kwamba awekwe kizuizini au auwawe! Lakin kwa sasa ni Hatari zaidi
Mkapa nimemuweka maana alitofautiana na baadhi Ila hakuwaua!
Ila JPM, SAMIA, JAKAYA, hawa ni madikteta wanaojifanya kucheka Lakin wanaua watu
Tunataka katiba nzuri na pia Taasisi za kuweza kuisimamia na kumsimamia kila mtu
Britanicca
Tutakinukisha pasikalike,na kweli hawakukaaMagufuli aliua makumi Samia ameua makumi ya maelfuView attachment 3534107View attachment 3534108View attachment 3534109View attachment 3534110
Watu smart wa wapi?Nyerere alitawala watu.smart sana. sasa waliosoma.ulaya sasa ndondocha zimekuwa nyingi
Hilo ni tabaka tawala,raia wengi walikua mbumbumbuKama wasaidizi waliweza kumpinga unasemaje alitawala mbumbumbu, Nyerere ndiye Rais pekee aliyekutana na majaribio ya kweli ya kutaka kupinduliwa, unasemaje alitawala mbumbumbu?
Jakaya ni mpenda mabadiko Mnafki Kama pascomayalla na Muhammed said humuKudai jakaya ni dikteta ni kuondoa umaana mdogo kwenye mada yako
Hapo labda ungewaacha mkapa na magu na huyo baba Yao kwenye udikteta,hao waswahili wa pwani hawana udikteta hata robo
Unapewa mifano halisiTusijidanganye Nyerere alitawala mbumbumbu ndiyo maana hakupata misukosuko
Tuwaonee huruma Hawa watawala wa Sasa mfumo unawafosi kutawala kikondoo wkt watu washanda shule
TrueJumapili ni tulivu! Pamoja na kwamba Tuna PM wa mchongo,
Don't believe this!.na wakati huo Namba moja na Namba mbili hawapatani wanaogopa kutiliana sumu tuangalie hapa chini
Naunga mkono hoja.Haina ubishi wote mliokuwapo wakati wa Nyerere alikuwa dictator Lakin mwenye akili natoa mifano michache
1. Mzee mtei aliachana naye kwa kutofautiana kwa sera Lakin akaachwa tu na wakaendelea kuwa wanasiasa wanaoheshimiana, pamoja na mtei kukosoa sera zote za mwalimu hadi ku resign lakin ilikuwa ni busara tu za kuamini katika kutofautiana, Swali kwa Magufuli au Samia unaweza andika hata barua ya kuacha kazi bila kufuatwa na wasiojulikana na kukupa vititsho au kukupoteza kabisa ? Nakumbuka wakati wa Magufuli kuna mtu alikataa uteuzi ikabidi awajibishwe kabisa na kuambiwa mtoro kazini na anasakwa! Lakin kwa Nyerere tumeona akitotofautiana na mtei,
Naunga mkono hoja2. Nyerere alikataliwa na Warioba kwa baadhi ya sheria na akasema kama ni hivi basi najiuzulu, Lakin leo hii hakuna mwanasheria wa SERIKALI Anaweza tofautiana na Rais wakawa SALAMA , tuna mifano ya Ummy Mwalimu, Ndugai, Hata Tulia kwa sasa weka mbali akina Mpango na Majaliwa Lakin ukweli ndo huo !
Naunga mkono hoja3. Mwaka 1982 Vijana waliiteka ndege ya Tanzania na kuipeleka uingereza , nauliza kwa sasa unaweza teka hata basi tu la mwendo kasi? Ukaachwa SALAMA ??
Nyerere alisikiliza Hoja za vijana na baadae akazifanyia kazi baadhi Lakin hakuwa na jaziba kuwasaka na kuwaua!
Naunga mkono hoja4. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza miaka ya 1980 Mzee Abdunuru Suleiman walitofautiana na Nyerere hata kwa kuonekana hatii maagizo ya Nyerere na akawekwa pembeni wala hakuambiwa kwamba awekwe kizuizini au auwawe! Lakin kwa sasa ni Hatari zaidi
Naunga mkono hoja kuhusu udikiteta wa Nyerere, ila kumuandika Nyerere Dikteta, weka neno Dikteta Mzalendo! a benevolent dictator.Mkapa nimemuweka maana alitofautiana na baadhi Ila hakuwaua!
Ila JPM, SAMIA, JAKAYA, hawa ni madikteta wanaojifanya kucheka Lakin wanaua watu
Tunataka katiba nzuri na pia Taasisi za kuweza kuisimamia na kumsimamia kila mtu
Britanicca
Naunga mkono hojaTunataka katiba nzuri na pia Taasisi za kuweza kuisimamia na kumsimamia kila mtu