Nyerere alikuwa Dikteta makini sana, waliofuata ni washamba labda kwa mbaaali Mkapa

Ni Sahihi mkuu Britanicca ..vp lakini kuhusu Balozi Kasanga Tumbo na Mwl James Mapalala?
Hakuna aliyeuwawa hapo, na hapo Mwalimu aliongoza nchi changa yenye changamoto nyingi na alidumu muda mrefu kuliko hao. Ila sasa wao kwa kipindi kifupi wameua watu wengi kumzidi, imagine hata mchoraji wa picha maskini njaa kali kutoka Mbeya naye kapotezwa.

Nyerere hakuwa mshamba hakuwahi agiza wasiojulikana wakamtese muuza vitumbua. Serikali ya Nyerere uliwahi sikia inamvamia Balozi wake na kumuua nyumbani kwake kama ilivyofanyika kwa Polepole?

Nyerere hata mwanae wa kumzaa alikuwa mpinzani. Kwanza Nyerere kila alilosema au kuliamini aliliishi, sio hawa wanajificha kwenye kulinda amani ila hapo hapo wanapiga risasi wanunua maji mtaani, watazama mpira kwenye vibanda umiza.

Wapi uliona Nyerere anaficha maiti za watu?
 
Tusijidanganye Nyerere alitawala mbumbumbu ndiyo maana hakupata misukosuko

Tuwaonee huruma Hawa watawala wa Sasa mfumo unawafosi kutawala kikondoo wkt watu washanda shule
Kama alitawala mbumbumbu kwani wakurugenzi wa usalama walikuwa phd holder na sio hizi za mchongo tena walikuwa vijana wadogo kabisa
 
True

Don't believe this!.

Naunga mkono hoja.

Naunga mkono hoja

Naunga mkono hoja

Naunga mkono hoja

Naunga mkono hoja kuhusu udikiteta wa Nyerere, ila kumuandika Nyerere Dikteta, weka neno Dikteta Mzalendo! a benevolent dictator.
P.
Bro punguza vitu vinavyokinzana na nia

Ila nia yakujipata kwa kila hila bado inauhalal.!

Natamani ubaki ulipo
 
Bro punguza vitu vinavyokinzana na nia

Ila nia yakujipata kwa kila hila bado inauhalal.!

Natamani ubaki ulipo
Ukinifafanulia kidogo nitakushukuru sana, mfano nini nini na nini vinakinzana?.
Nibaki nilipo wapi?.
Mwandishi wa havari,
Mtangazaji
Mwanasheria
Wakili,
Kada wa CCM,
Mwana jeiefu?
P
 
Dikteta makini ndo nn!

Dikteta hawezi kuwa na akili wala umakini,

Conclusion ni kuwa,

Nyerere hakuwa Dikteta bali mzalendo na kiongozi Bora.
 
Tusijidanganye Nyerere alitawala mbumbumbu ndiyo maana hakupata misukosuko

Tuwaonee huruma Hawa watawala wa Sasa mfumo unawafosi kutawala kikondoo wkt watu washanda shule
Unajua Nyerere alitaka kupinduliwa mara ngapi, hawa wanaofuata wanatengeneza kesi ya uhaini. Kama watu waliokuwepo wakati wa utawala wa Nyerere wangeshawaobdoa madarakani.
Kwanza usalama wa sasa hivi wengi hamna kitu ndio maana hawakujua kama October 29 kuna maandamano, pili wakati Nyerere anatawala alikuwa na sapori kubwa ya wananchi tofauti na viongizi wa sasa wamejaza machawa.
 
Wajinga mnapojifanya werevu
 
Nyerere pamoja na mapungufu yake yote alikua anaweza kuwambia ukweli CCM unapokua Rais mstaafu unatakiwa kua father kua mtu wa HAKI maana wewe ni baba wa taifa Nyerere aliweza hili japokua alishindwa kwenye katiba ya nchi lakini aliwakosoa sana CCM Kitu ambacho Kikwete kashindwa kunyakua Heshima kama hii kua mtu wa HAKI mtu wa haki ni mwenye kuona mbali Nyerere sidhani Nyerere angekua mzima Jakaya asingekua Rais ni uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…