"Hivi karibuni" inaanzia lini?
Umeanza vizuri sana,kwa nini Idd Amini apige Mutukula na wala sio Busia au Bunagana?savabu Tanzania ilikuwa inalea waasi wa Uganda wakina M7 pale KaragweSio kweli labda humuelewi Museveni. Kwanini Tanzania isiivamie Kenya au Malawi?. Kwanini iamue kupambana na Uganda ya Idi Amin peke yake?. Jiulize hilo swali.
Napokwambia wewe ni mtoto mdogo namaanisha huna kumbukumbu za Uganda kupiga kule Mutukula na sehemu ya Mkoa wa Mwanza. Amin alituletea dharau na tukamshughulikia yeye na wanajeshi wake wa kukodi kutoka Libya ya Ghadhafi.
Hujajibu swali.huwezi kuelewa mazingira sababu unaonekanwa hujawahi kuishi Zanzibar, kwa miaka 20 sasa population ya watu kutoka Tanganyika imekuwa iki grow kadri siku zinavyokwenda ndani ya Zanzibar, na tatizo linakuja ni kuwa huwa wanaji involve kwenye politics, kwa kifupi tu mbara akishafika Zanzibar wengi wao wanaanza kuitumikia CCM, mda mwengine CCM hutumia hata vitisho kwao, na ndio sababu kubwa ya ugomvi mkubwa baina ya Wazanzibari na wabara kule Zanzibar.
Ndio maana alianzisha jela za wazi,akaziita vijiji vya ujamaa na kujitegemeaKupitia matendo na fikra zake Mwalimu Nyerere alikuwa mkoloni wa waziwazi mwenye ngozi nyeusi.
Sio kweli kuwa Nyerere alichukizwa na ukoloni ila ukweli ni kwamba Nyerere ukoloni aliupenda sana ila alichukizwa na watu weupe kuwa tendea watu weusi.
Nyerere ukoloni aliupenda sana na ndiyo maana chini ya utawala wake vitendo vya kikoloni juu ya jamii yake ya watu weusi vilitamalaki.
Nyerere hakuona haya kupitisha mambo ya kikoloni yatakayo inyonga jamii yake anayoitawala kizazi cha wakati wake na kizazi kijacho hizi zilikuwa fikra kuu za wakoloni weupe kwa watu weusi.
Ndio maana Nyerere hakuona haya kulazimisha muungano wa kimabavu wa Tanganyika kuikalia kimabavu Zanzibar mpaka leo.
Nyerere hakujali kuhusu kupora uhuru wa wana Tanganyika na kupora uhuru wa Wazanzibari ili tu fikra zake zipate kutimilika.
Nyerere ukoloni aliuhusudu haswa ila hakupenda tu wakoloni weupe kutawala watu weusi.
Hujajibu swali.
"Hivi karibuni" inaanzia lini?
Ndiyo hiyo miaka 20?
Kama haijawahi kushinda uchaguzi, that's even worse.
Kwa nini hao CUF na ACT wanaingia kwenye serikali za umoja wa kitaifa na hao wezi wa CCM?
Huoni kwamba hili tatizo ni zaidi ya Nyerere na CCM?
Kwa nini unaona mimi mkali wakati nauliza swali la timeline tu?naona umevaa jezi ya ubishani mkuu, kwanini unakua mkali hivyo? bora endelea tu
Sababu iwe A au B si jambo la msingi.Unaelewa sababu ya kuletwa ile serikali ya Umoja wa kitaifa?
Hii sio kweli. Hakuna binadamu asiye na makosa. Makosa ya baba wa Taifa yanamezwa na mazuri yake.Kupitia matendo na fikra zake Mwalimu Nyerere alikuwa mkoloni wa waziwazi mwenye ngozi nyeusi.
Sio kweli kuwa Nyerere alichukizwa na ukoloni ila ukweli ni kwamba Nyerere ukoloni aliupenda sana ila alichukizwa na watu weupe kuwa tendea watu weusi.
Nyerere ukoloni aliupenda sana na ndiyo maana chini ya utawala wake vitendo vya kikoloni juu ya jamii yake ya watu weusi vilitamalaki.
Nyerere hakuona haya kupitisha mambo ya kikoloni yatakayo inyonga jamii yake anayoitawala kizazi cha wakati wake na kizazi kijacho hizi zilikuwa fikra kuu za wakoloni weupe kwa watu weusi.
Ndio maana Nyerere hakuona haya kulazimisha muungano wa kimabavu wa Tanganyika kuikalia kimabavu Zanzibar mpaka leo.
Nyerere hakujali kuhusu kupora uhuru wa wana Tanganyika na kupora uhuru wa Wazanzibari ili tu fikra zake zipate kutimilika.
Nyerere ukoloni aliuhusudu haswa ila hakupenda tu wakoloni weupe kutawala watu weusi.
Kwa nini unaona mimi mkali wakati naukiza swali la timeline tu?
Tunawezaje kujadili suala la historia bila timeline?
Hujajibu swali.kwa kifupi tu, Mtanganyika akifika Zanzibar hata leo hii, akifika katika mtaa atakaoamua kuishi taratibu zinamtaka ni lazima akajitambulishe kwenye serekali ya mtaa, huko serekali ya mtaa ndiko anapo orodheshwa kwa matumizi ya CCM, kwa kifupi unakua CCM by default, na ukiwa mbishi wanatumia hata vitisho na propaganda uchwara kukutisha. Kwa vile wengi huwa ni watu wanaootoka mikoani wanatoka vijijini au uswahilini wanatishika. kwahiyo wanaanza kufuata maelekezo wanayoelekezwa. Ni wachache wanaojielewa wanaowapotezea.
Huo mfumo umeanza kwa miaka mingi sana toka vyama vingi viliporejea nchini 90's.
Nahilo ndio moja ya bifu kubwa ya wabara na wazanzibar kule zanzibar, ya kuwa wabara wanaohamia Zanzibar wanakuwa ni pro CCM.
Sababu iwe A au B si jambo la msingi.
Jambo la msingi ni kwamba CUF na ACT wamekubali kuingia kwenye hizo serikali.
Au hawakukubali?
Hujajibu swali.
"Hivi karibuni" inaanzia lini?
Ndiyo hiyo miaka ya 90?
Nimekuuliza swali umeliruka.Lengo la ile serikali ni kuondoa tofauti baina yao na kuwa kitu kimoja wapambane na maslahi yao, Tatizo bado CCM bara wamewadhibiti CCM Zanzibar na ndio mana wanaendelea kuwa influence.
Unaweza nambia nilini mgombea uraisi wa CCM Zanzibar anaetakiwa na wanaccm Zanzibar aliwahi kugombea na kuwa raisi? Maraisi wote wa Zanzibar wanaekwa na Tanganyika kwa ajili ya Maslahi yao.
Basi wewe ndiye hujui historia ya Zanzibar.yameanza miaka ya 90 na yanaendelea
Nimekuuliza swali umeliruka.
CUF na ACT walikubali kuingia kwenye hizo serikali za umoja wa kitaifa, au walikataa?
Hutakiwi kuwalaumu CCM wakati hata upinzani wamekubali kuingia kwenye serikali.2015 - 2020 walikataa
nasasa hivi wamekubali
Basi wewe ndiye hujui historia ya Zanzibar.
Zanzibar hata uchaguzi wa 1985 Idris Abdul Wakil hakushinda urais Zanzibar.
Katika uchaguzi wa chama kimoja wa "Ndiyo" au "Hapana", Abdul Wakil alishindwa.
Matokeo yaliletwa mpaka Daily News yachapishwe. Waandishi wakaambiwa wasiyachapishe. Yakabadilishwa.
Idris Abdul Wakil akawa rais. Na kwa aibu baba yule alikataa kugombea tenanurais Zanzibar mwaka 1990.
Na waliosaidia kubadili matokeo ni Wazanzibari. Bila Wazanzibari kushiriki mchezo ule usingewezekana kufanyika.
Kama 90% ya Wazanzibari wangeikataa CCM, CCM isingeweza kuwachezea hivyo.hayo unayoyazangumza mimi nayaelewa vizuri tu, Mimi hoja yangu ilizungumza kuwa 90% ya wazanzibari wameikataa CCM. wapo wachache waliobaki ndio waliouza utu wao na kukubali kuwa vibaraka wa Tanganyika kwa maslahi binafsi ndio hao unaowazungumza wewe.