Hutakiwi kuwalaumu CCM wakati hata upinzani wamekubali kuingia kwenye serikali.
Hutakiwi kuilaumu CCM tu wakati serikali mpaka upinzani upo.kuingia kwenye serikali ni suala la kikatiba ndugu. wapinzani wanaangalia vita yao ya kisiasa vipi waende nayo. Na ndio kuna mika huigomea kuna miaka huingia. Hilo haliwezi ondoa uovu waa CCM kwenye hii nchi.
Idd Amin alijichanganya mwenyewe tukamshughulikia. Mwalimu Nyerere alikuwa hodari wa kuunganisha afrika nzima muda wote wa maisha yake ya urais hakuna namna yeye aanzishe fitina ili eti aisaidie Uganda.Umeanza vizuri sana,kwa nini Idd Amini apige Mutukula na wala sio Busia au Bunagana?savabu Tanzania ilikuwa inalea waasi wa Uganda wakina M7 pale Karagwe
Hutakiwi kuilaumu CCM tu wakati serikali mpaka upinzani upo.
Hapana.wewe unaeleweka ni mwana CCM. kwaiyo kuendelea kueleweshana na wewe ni kujisumbua tu