Vijana wa kitanzania bila kinga ya system ni watu waoga sana
Nyerere aliwahi kusema“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na matalajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mfumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa”.