Nyerere aliwanyamazisha kimabavu Watanganyika walioitaka Tanganyika yao kwanini ?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Kwa nini Nyerere aliwanyamazisha kimabavu Watanganyika walioitaka Tanganyika yao ?

Kwanini G55 walionekana sana wakosefu kisa kuidai na kuipigania nchi yao ?

Nyerere alikuwa ni nani hasa hapa nchi kuwaamulia Watanganyika wote kuhusu hatima ya nchi yao iwe hai au iuawe bila hata kujua wameridhia ama laah ?
 
Nyerere alituuza kwa Wazenji, kwa hilo hasameheki. Sasa hivi Tanganyika inavyolawitiwa na Zanzibar chanzo cha yote haya ni Nyerere secondly ni uoga, uchawa na ujinga wa Watanganyika vinavyofanya Tanganyika iendelee kulawitiwa na Zanzibar.
 
Kwa nini Nyerere aliwanyamazisha kimabavu Watanganyika walioitaka Tanganyika yao ?

Kwanini G55 walionekana sana wakosefu kisa kuidai na kuipigania nchi yao ?

Nyerere alikuwa ni nani hasa hapa nchi kuwaamulia Watanganyika wote kuhusu hatima ya nchi yao iwe hai au iuawe bila hata kujua wameridhia ama laah ?
Nyerere aliulinda Muungano kiusalama zaidi, na ukiangalia Zanzibar kua Islamic state kamili ni rahisi nje ya Muungano,lazima kuwe na strategics kukabilia na hiyo hali,for short & long term
 
Kwanini uingie kwenye muungano na taifa ambalo liko duni kwa Kila kitu dhidi ya taifa lako halafu uhangaike kuulinda?.
Nyerere alikua na matatizo mengi ya akili
 
kwa sababu ya communism, zanzibar ni communist, kama siyo muungano ilikuwa iwe kama somalia ya siad bare, comoro, eritrea au north korea, ilikuwa hamna namna usisahau zanzbar ni umbali wa kama 50 km ktk kwetu bara hivyo haikuwezekana kuishi na communist as a neighbor, na haya yanayoendela leo ndiyo communist zanziibar yenyewe sasa ...
 
Zanzibar wanauwezo wakuungana na Kenya vilevile au visiwa vinginevyo, mambo mengi yako Dynamic ,uwezi kumlauma Nyerere ,watu wanajua siri zako zoote za nchi,tengana nao kwa akili kubwa
 
kwa sababu ya communism, zanzibar ni communist, kama siyo muungano ilikuwa iwe kama somalia ya siad bare, comoro, eritrea au north korea, ilikuwa hamna namna usisahau zanzbar ni umbali wa kama 50 km ktk kwetu bara hivyo haikuwezekana kuishi na communist as a neighbor, na haya yanayoendela leo ndiyo communist zanziibar yenyewe sasa ...
Unauelewa ukomunisti lakini ?
 
Unauelewa ukomunisti lakini ?

ndiyo!
na zanzibar ni communist, zanzibar ktk historia yake haijawahi kuwa democracy, kwanza ilikuwa chini islam na sultani no democracy, next communist revolution no democracy, baada ya hapo muungano ambao umedumu mpaka leo hii, hivyo hawajawahi kuishi democracy.

hivyo zanzibar ni communist through and through ...
 
Kwa nini Nyerere aliwanyamazisha kimabavu Watanganyika walioitaka Tanganyika yao ?

Kwanini G55 walionekana sana wakosefu kisa kuidai na kuipigania nchi yao ?

Nyerere alikuwa ni nani hasa hapa nchi kuwaamulia Watanganyika wote kuhusu hatima ya nchi yao iwe hai au iuawe bila hata kujua wameridhia ama laah ?
Alikuwa Dikteta.
 
Usitutajie huyo mpuuzi aliyezidiwa ujanja na wala urojo.
 
Masikini Mwalimu, yote aliyosimamia yanaporomoka moja baada ya jengine. Alifanya kuhoji muundo wa muungano ni dhambi kubwa.
 
Kwa nini Nyerere aliwanyamazisha kimabavu Watanganyika walioitaka Tanganyika yao ?

Kwanini G55 walionekana sana wakosefu kisa kuidai na kuipigania nchi yao ?

Nyerere alikuwa ni nani hasa hapa nchi kuwaamulia Watanganyika wote kuhusu hatima ya nchi yao iwe hai au iuawe bila hata kujua wameridhia ama laah ?

View: https://vt.tiktok.com/ZSVqBJ3Hf/
 
Back
Top Bottom