Nyerere alituuza kwa Wazenji, kwa hilo hasameheki. Sasa hivi Tanganyika inavyolawitiwa na Zanzibar chanzo cha yote haya ni Nyerere secondly ni uoga, uchawa na ujinga wa Watanganyika vinavyofanya Tanganyika iendelee kulawitiwa na Zanzibar.Kwa nini Nyerere aliwanyamazisha kimabavu Watanganyika walioitaka Tanganyika yao ?
Kwanini G55 walionekana sana wakosefu kisa kuidai na kuipigania nchi yao ?
Nyerere alikuwa ni nani hasa hapa nchi kuwaamulia Watanganyika wote kuhusu hatima ya nchi yao iwe hai au iuawe bila hata kujua wameridhia ama laah ?
Nyerere aliulinda Muungano kiusalama zaidi, na ukiangalia Zanzibar kua Islamic state kamili ni rahisi nje ya Muungano,lazima kuwe na strategics kukabilia na hiyo hali,for short & long termKwa nini Nyerere aliwanyamazisha kimabavu Watanganyika walioitaka Tanganyika yao ?
Kwanini G55 walionekana sana wakosefu kisa kuidai na kuipigania nchi yao ?
Nyerere alikuwa ni nani hasa hapa nchi kuwaamulia Watanganyika wote kuhusu hatima ya nchi yao iwe hai au iuawe bila hata kujua wameridhia ama laah ?
Kwanini uingie kwenye muungano na taifa ambalo liko duni kwa Kila kitu dhidi ya taifa lako halafu uhangaike kuulinda?.Nyerere aliulinda Muungano kiusalama zaidi, na ukiangalia Zanzibar kua Islamic state kamili ni rahisi nje ya Muungano,lazima kuwe na strategics kukabilia na hiyo hali,for short & long term
Zanzibar wanauwezo wakuungana na Kenya vilevile au visiwa vinginevyo, mambo mengi yako Dynamic ,uwezi kumlauma Nyerere ,watu wanajua siri zako zoote za nchi,tengana nao kwa akili kubwaKwanini uingie kwenye muungano na taifa ambalo liko duni kwa Kila kitu dhidi ya taifa lako halafu uhangaike kuulinda?.
Nyerere alikua na matatizo mengi ya akili
Usalama gani unahitaji kuua nchi yako na nchi nyingine iwe hai mpaka leo ?Nyerere aliulinda Muungano kiusalama zaidi, na ukiangalia Zanzibar kua Islamic state kamili ni rahisi nje ya Muungano,lazima kuwe na strategics kukabilia na hiyo hali,for short & long term
Unauelewa ukomunisti lakini ?kwa sababu ya communism, zanzibar ni communist, kama siyo muungano ilikuwa iwe kama somalia ya siad bare, comoro, eritrea au north korea, ilikuwa hamna namna usisahau zanzbar ni umbali wa kama 50 km ktk kwetu bara hivyo haikuwezekana kuishi na communist as a neighbor, na haya yanayoendela leo ndiyo communist zanziibar yenyewe sasa ...
Unauelewa ukomunisti lakini ?
Tupo na ComoroNyerere aliulinda Muungano kiusalama zaidi, na ukiangalia Zanzibar kua Islamic state kamili ni rahisi nje ya Muungano,lazima kuwe na strategics kukabilia na hiyo hali,for short & long term
Alikuwa Dikteta.Kwa nini Nyerere aliwanyamazisha kimabavu Watanganyika walioitaka Tanganyika yao ?
Kwanini G55 walionekana sana wakosefu kisa kuidai na kuipigania nchi yao ?
Nyerere alikuwa ni nani hasa hapa nchi kuwaamulia Watanganyika wote kuhusu hatima ya nchi yao iwe hai au iuawe bila hata kujua wameridhia ama laah ?
Usitutajie huyo mpuuzi aliyezidiwa ujanja na wala urojo.Kwa nini Nyerere aliwanyamazisha kimabavu Watanganyika walioitaka Tanganyika yao ?
Kwanini G55 walionekana sana wakosefu kisa kuidai na kuipigania nchi yao ?
Nyerere alikuwa ni nani hasa hapa nchi kuwaamulia Watanganyika wote kuhusu hatima ya nchi yao iwe hai au iuawe bila hata kujua wameridhia ama laah ?
Uongo mtupuNyerere aliulinda Muungano kiusalama zaidi, na ukiangalia Zanzibar kua Islamic state kamili ni rahisi nje ya Muungano,lazima kuwe na strategics kukabilia na hiyo hali,for short & long term
Kwa nini Nyerere aliwanyamazisha kimabavu Watanganyika walioitaka Tanganyika yao ?
Kwanini G55 walionekana sana wakosefu kisa kuidai na kuipigania nchi yao ?
Nyerere alikuwa ni nani hasa hapa nchi kuwaamulia Watanganyika wote kuhusu hatima ya nchi yao iwe hai au iuawe bila hata kujua wameridhia ama laah ?
Nyerere aliwaleta mjini ,huyo ndiye mbara mwenye akili bila ya huyo mngebaki porini ..Narudia tena, Nyerere is overrated, ni mzee mmoja asiyekua na maono aliyejaza hofu juu ya Watanganyika na kuwafanya watumwa wa dola na serikali.
Mjini wapi na porini ni wapi?Nyerere aliwaleta mjini ,huyo ndiye mbara mwenye akili bila ya huyo mngebaki porini ..
Bendera ya Tanganyika haina rangi ya blue 🔵 unalijua hilo?Mjini wapi na porini ni wapi?