BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
NonsenseBendera ya Tanganyika haina rangi ya blue 🔵 unalijua hilo?
Mjini ndio mchambawima au kibanda maiti?Nyerere aliwaleta mjini ,huyo ndiye mbara mwenye akili bila ya huyo mngebaki porini ..
Kama ambavyo miaka ya 60s kuliibuka wimbinma madikteta Afrika, kwa namna moja au nyingine hata Mwl aliathirik kidogoKwa nini Nyerere aliwanyamazisha kimabavu Watanganyika walioitaka Tanganyika yao ?
Kwanini G55 walionekana sana wakosefu kisa kuidai na kuipigania nchi yao ?
Nyerere alikuwa ni nani hasa hapa nchi kuwaamulia Watanganyika wote kuhusu hatima ya nchi yao iwe hai au iuawe bila hata kujua wameridhia ama laah ?
Kwa hiyoBendera ya Tanganyika haina rangi ya blue 🔵 unalijua hilo?
Katu Tanganyika isingeweza tetemeshwa asilani kiusalama na hicho kiunguja na hicho kipemba.Kilichomfanya nyerere kuushikilia muungano ni masharti kutoka kwa wakoloni kabla ya kutupa uhuru kamili.. ilikua lazima piga ua ili kuungana na zanzibar ili waarab wasije kujaa pale kwa kuwa na umoja na wazanibar matoeo yake kungekuwa na makundi ya kigaidi mengi sana na ingekuwa hatari kwa sisi bara huku
yule mzee alikuwa na upumbavu mkubwa sana wa kuamini anachowaza yeye tu ndicho bora na ndiyo maana alikuwa na mawazo ya kimaskini mpaka anakufaKwa nini Nyerere aliwanyamazisha kimabavu Watanganyika walioitaka Tanganyika yao ?
Kwanini G55 walionekana sana wakosefu kisa kuidai na kuipigania nchi yao ?
Nyerere alikuwa ni nani hasa hapa nchi kuwaamulia Watanganyika wote kuhusu hatima ya nchi yao iwe hai au iuawe bila hata kujua wameridhia ama laah ?
Wa elfu mbili ,huwezi jua hata Nyerere alinusurika kupinduliwa akaokolewa na kikosi cha jeshi cha Malikia wa UK kililchokua na Base Kenya...Uongo mtupu
Hakuna mantiki hapo!Nyerere aliulinda Muungano kiusalama zaidi, na ukiangalia Zanzibar kua Islamic state kamili ni rahisi nje ya Muungano,lazima kuwe na strategics kukabilia na hiyo hali,for short & long term
Nchi Ndogo? Japani waliitawala China na wingi waoHakuna mantiki hapo!
Kwani hao islamists wakiwa Islamic state kuna shida gani kwa nchi kubwa ya Tanganyika?? Wangeachwa huru wafanye mambo yao!
Sasa Tanganyika imeambulia kugeuka koloni la hao Wazenji kinyemela..
Tunataka jina halisi la makamu wa Rais mteule | JamiiForums Tanzania https://www.jamiiforums.com/threads...-makamu-wa-rais-mteule.2466750/#post-56727154
Wasilojua Nyerere baada ya mabalaa yaliyotokea kipindi hicho.kwa sababu ya communism, zanzibar ni communist, kama siyo muungano ilikuwa iwe kama somalia ya siad bare, comoro, eritrea au north korea, ilikuwa hamna namna usisahau zanzbar ni umbali wa kama 50 km ktk kwetu bara hivyo haikuwezekana kuishi na communist as a neighbor, na haya yanayoendela leo ndiyo communist zanziibar yenyewe sasa ...
Hizo stori za muungano na Zanzibar ni kwasababu za kiusalama nilianza kuzisikia nikiwa darasa la tano mwaka 1991.Wa elfu mbili ,huwezi jua hata Nyerere alinusurika kupinduliwa akaokolewa na kikosi cha jeshi cha Malikia wa UK kililchokua na Base Kenya...
Kwahiyo sababu ni zipi?Hizo stori za muungano na Zanzibar ni kwasababu za kiusalama nilianza kuzisikia nikiwa darasa la tano mwaka 1991.
Huo ni uongo mtupu
Hakuna sababu za msingi zaidi ya upuuzi tu muungano ambao Zanzibar ni kupe wa kwa kila kitu.Kwahiyo sababu ni zipi?