Nyerere hakuwahi kupata tunzo ya Nobel

Naongea nilichokishuhudia na sio kukisikia au kukisoma. Nilikuwepo, jee wewe ulikuwepo?


I have realized that you can't be changed by TRUTH even when the facts negate what you think you you know!

So stick to what you THINK is the truth to you pal!
 


I could give you the right and very satisfying answers to these questions/issues. But I have a feeling that your perception can't be changed.

You see sometimes, people decide to stick even to false conclusions created out of false speculations, the false conclusions that they think is the truth. To such people, the refusal to accept the truth can be very strong even when the facts are so obvious.

So for now, you can just stick to what you think is the truth.
 
I have realized that you can't be changed by TRUTH even when the facts negate what you think you you know!

So stick to what you THINK is the truth to you pal!

Hujajibu swali, Jee wewe ulikuwepo wakati wa nyerere?
 

nyerere ulijulikana kama dikteta fulani duniani kote...hata hapa Tanzania wengi walimfahamu hivyo. Hakua malaika wala mtakatifu (saint) kama baadhi ya watu wanavyotaka tuamini...he deserves no nobel prize,that is the fact...
 

he deserves nothing....he was a dictator ...that's the fact.
 
Unabwabwaja kiswahili hapa sababu ya nyerere kuondoa ukanda la sivyo ungeandika kimakonde. Haya, mkapa kafanya nini kuondoa umasikini kusini?
 

"To be Noble" si lazima uwe na mlolongo wa mambo uliyoyafanya, moja tu linatosha kukufanya uwe "noble" na upate tuzo hiyo. Nyerere hana hata hilo moja na wala hawajakosea:

Obama: Kuukwaa uRais tu wa Merekani kumetosha kumpatia hiyo tuzo.

Mandela: Kusamehe

De Klerk: Kumwachia Mandela

Kissinger: Kusaidia kuondowa "cold war" na mihangaiko ya kuwatafutia amani wayahudi.

And so on and so forth.

Nyerere: Nil

Angojee utakatifu kwa kusaidia mfumo kiristo Tanzania, hana zaidi.
 

Majishindo, sijui una matatizo gani ndugu yangu. Nimebahatika kutembelea nchi nyingi duniani na pamoja na Mwalimu kuachia madaraka miaka zaidi ya 25 iliyopita, jina la Kiongozi anayefahamika kutoka nchi ya Kilimanjaro na Serengeti, ni Mwalimu Nyerere peke yake. Pamoja na Kikwete kuitembelea Marekani hadi wakamchoka, hakuna mmarekani anayemfahamu kama Raisi wa Tanzania labda asome kitabuni.

Juzi nimekuwa na bahati ya kukutana na mcheza sinema maarufu wa Marekani anayeitwa Dan Glover. Aliniuliza mimi ni raia wa wapi na nilipomtajia tu Tanzania akanitamkia maneno sita, ooh the land of my hero ! Nilimshangaa nikamuuliza huyo hero wake ni nani na bila hata kusita akasema Mwalimu Nyerere. Anasema Nyerere ali inspire weusi wengi alivyopambana na ubeberu nyakati hizo. Dan Glover hivi sasa ana umri wa miaka 65 na alizaliwa mwaka 1946.
 
kwa hawa wadau wanaompinga Nyerere wanaweza kutuambia iweje viongozi wote nchini hufanya nukuu zao toka kwa Mwalimu pindi wanapohutubia ama kutafuta kukubalika?
 
kwa hawa wadau wanaompinga Nyerere wanaweza kutuambia iweje viongozi wote nchini hufanya nukuu zao toka kwa Mwalimu pindi wanapohutubia ama kutafuta kukubalika?

Mimi simpingi Nyerere, napinga au kuunga mkono issues. Na sipo katika hili la hero worship ya kumfanya binadamu kuwa demi god. Mwalimu Nyerere mwenyewe kama intellectual angeelewa na kufurahia watu wa aina yangu.

Kwani kufanya nukuu kuna maana gani wakati hamna kinachofanyika? Nukuu zina prove nini? Mbona white supremacists mpaka kesho wanam-quote Hitler, ina maana Hitler ni valid hivyo?

Let's give credit where it's due. Nyerere ana mengi tu ya kusifika, lakini huu uzembe wa kuchukua tradition ya kumuenzi first president na kuifanya kuwa merit kunampunguzia umuhimu. Na wengine tunaweza kukuambia viongozi wote wa kisiasa wa Tanzania hawana imagination ya kuwa Nyerere wengine, ndiyo maana wanaishia kuwa stuck on Nyerere. Hili halionyeshi kwamba Nyerere alikuwa giant, bali labda viongozi wetu wa sasa ndio midgets.

Nyerere's achievements will never be heightened or diminished by an arranged award.
 

From my understand the Noble is not an award for nobility. Au una confuse Noble na Nobel mkuu?
 

Mkuu unaweza kutuelimisha WaSwede wali support apartheid kivipi? Una mifano ya kuonyesha hilo wazi katika level ya accusations zako?
 
kwa hawa wadau wanaompinga Nyerere wanaweza kutuambia iweje viongozi wote nchini hufanya nukuu zao toka kwa Mwalimu pindi wanapohutubia ama kutafuta kukubalika?

Bwana Raia Fulani:

Wengi wao ni wale ambao kwa HISIA zao walijaribu kuhusisha matatizo yao na Nyerere. Wanatumia hisia hizo kujijengea umoja kwa hiyo wanajilazimisha kuziamini kuwa ni ukweli. Hawawezi kukubali kuwa kuna baadhi ya mambo mazuri yaliyoletwa na Nyerere au misingi mizuri iliyowekwa na Nyerere. Wengine hawataki hata kuamini kuwa si ajabu Nyerere asingejenga misingi fulani, hata wao wasingeweza kwenda shule au hata kuandika haya wanayoandika.

Wengi wao ni wale wale ambao wanaweza kumwona Gadafi ni kiongozi bora kuliko Nyerere (Hata hawajui jinsi Nyerere alivyokataa kubadilisha mateka wa kivita wa Libya kwa misaada). Hata kwa hili hawawezi kukubali kuwa Nyerere alikuwa "noble" zaidi kuliko Gadafi.

Hata ukiwaeleza vipi, hawatakubali, kwasababu wakikubali, hisia zao walizonazo dhidi ya Nyerere zitabadilika, na zikibadilika mambo yao mengi yatabadilika kuhusu umoja wao.

Lakini cha muhimu ni kuwa umoja hauwezi kujengwa kwenye hisia za uongo. Umoja wa namna hiyo utadumu kwa muda mfupi tu. Umoja wa kudumu hujengwa kwenye ukweli na sio "twisted facts". Nyerere was a human being. Kama viongozi wengine, alifanya mazuri na mabaya. Wao wanasema alifanya mabaya tu.

Important Note:
Regardless of how people like to stick to lies for whatever short run benefits, In long run it is the TRUTH that PREVAILS
.
 
Mimi ni kati ya watu ambao siyo mshabiki sana wa Nyerere. Nilianza shule wakti Tanzania ndiyo mwanzo imepata uhuru. Maisha ya Tanganyika/Tanzania kwa kweli yalikuwa duni sana. Wakati Tanganyika tunapata uhuru hali yetu ya kiuchumi haikuwa tofauti sana na ile nchi za South East Asia – Malaysia, Singapaore, Thailand, etc. Leo tumeachwa mbali sana.
Nyerere alikuwa na tatizo kubwa na kudhani kuwa wengine hawajui kitu. Kila kitu anajua yeye na ukimbishia basi wewe ni adui yake wa maisha. Hawezi kukusamehe kabisa. Hakuwa mtu anayependa kuonea watu lakini alipenda sana kulipiza kisasi. Mifano ipo mingi. Akina Tuntemeke Sanga ambaye aliambiwa asitembee nje ya wilaya ya Njombe, Oscar Kambona alimpa baba yake (an Anglican Pastor) gari la Landrover. Oscar alipokimbilia UK yule mzee aliambiwa lile gari lisitembee hata nchi moja. Liliozea lilopoegeshwa.
Katika Africa yeye alijipatia sifa nyingi katika kuongoza vita za kulikomboa bara hili. Wazungu wengi hawakupenda siasa yake ya ujamaa wakidhani kuwa itaenea bara zima. Lakini katika Afrika Nyerere vilevile aliwahi kufanya vitendo ambavyo alikuja kuvijutia baadaye kama kuunga mkono kwa kujitenga jimbo la Biafra kule Nigeria. Tulipeleka pesa nyingi na inawezekana hata ushauri wa kivita.
Mafanikio ya Nyerere kwenye uchumi wa Tanzania ni sifuri, au tuseme “negative”. Watanzania tulipata shida sana asana. Kwa wale ambao hawakuwepo wakati huo wasiombee maisha kama yale yawafike. Ilifika wakati ilibidi sukari, sabuni ya mbuni, mchele, unga wa mhogo(makopa), betri, viberiti,n.k vyote vilipatikana kwa mjumbe wa nyumba kumi. Kuwa nyumba kumi wakati huo ulikuwa umeukata. Wakati Nyerere anaachia ngazi pale Benki kuu walikuwa na dola laki tano tu. Walishindwa kununua mafuta na nchi nzima magari yalisimama. Wakati huo magari hayakuwa mengi kwani watu hawakuwa wanruhusiwa kuwa na magari na wale waliokuwa nayo walikuwa hawaruhusiwi kuendesha Jumapili kuanzia saa nane mchana.
Kuhusu “villagilisation” Nyerere hawezi kukwepa lawama. Tamaa ya Nyerere ilikuwa ni kuweka watu pamoja na kudhani watabadilika kuwa wajamaa. Kwa vile alizungukwa na wapamabe tu kama akina Kawawa, Songambele, etc. basi walifanya chochote kumfurahisha. Nakumbuka kijijini kwangu kuna mzee wa zaidi wa miaka 60 alihamishiwa umbali wa chini ya kilomita moja kutoka kwenye nyumba yake wakati nyumba zake zote alikuwa ameezeka bati na ikabidi ajenge vibanda vya miti na kueezeka majani. Nyumba zake za zamani walichoma moto kwa vile alikuwa hataki kuhama. Alikufa katika hali ya umasikini sana. Kule Tabora kuna watu wanaitwa Mgaya kumkumbuka mkuu wa mkoa wa wakati huo Philemon Mgaya ambaye alikuwa kinara wa kuchoma nyumba zao moto na wengi waliliwa na samba.
Kuna mtu anazungumzia kuwa wakati wa Nyerere hakuna ” intelletuals” waliosomeshwa. Hiyo siyo kweli. Nitataja mmoja ambaye ndiye mtu mweusi wa kwanza kupendekezwa kupewa tuzo la Nobel kwenye Science, Dr. Hezekeiah Kamuzora ambaye alikuwa anafanya kazi kama Biochemist pale Muhimbili. Hata hivyo kielime Tanzania tulididimia sana wakati wenzetu walikuwa wanendelea. Mpaka miaka ya 80 Nyerere alikuwa hataki Watanzania wengi waingie kwenye elimu ya sekondari wakati majirani zetu walikuwa wanapanua elimu ya vyuo vikuu. Kwa mfano, alipinga sana mikakati ya kujenga shule za sekondari za tarafa kule wilayani Njombe ambazo zilijulikana kama NDDT akisema kuwa badala yake wajenge “vocational colleges”
 

Kujulikana na kuwa "hero" kwa baadhi ya watu hakukufanyi kuwa noble. Hata hitler ni nani asiyemjuwa na hayupo toka lini? Na wengi mpaka leo ni hero wao na wanatumia mpaka "symbol" yake ya swastika.

Hayo uliyosema hayamfanyi nyerere kufuzu tuzo yoyote ile. Alikuwa ni dikteta aliesababisha vifo vya wengi tu na kuitia nchi kwenye kila tatizo ulijuwalo na usilolijuwa. Simkubali hata kidogo na hana sifa zaidi ya kulitumikia kanisa katoliki na ndio linataka kumpa utakatifu. Kwa jema lipi zaidi?
 
From my understand the Noble is not an award for nobility. Au una confuse Noble na Nobel mkuu?

No confusion, its the same Noble or Nobel, its only a matter of language and where you are. Noble forms the name of the award and it is not an award for nobility but if you are not noble you can't win the award. Nyerere was not.
 

Sasa unataka kuaribu, hapo kwenye nyekundu inahusiana nini na tuzo la kimataifa stick to the relevant please. Hizo chuki zako za kidini embu tuliza kiasi we kila saa fujo tu daah.

 
From my understand the Noble is not an award for nobility. Au una confuse Noble na Nobel mkuu?

Yes, he does.

No confusion, its the same Noble or Nobel, its only a matter of language and where you are. Noble forms the name of the award and it is not an award for nobility but if you are not noble you can't win the award. Nyerere was not.

Have you ever heard of this name, Alfred Bernhard Nobel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…