"kuna nguvu ziko kazini, they are well prepared,well infomed, well finance and their goal is nothing but controling us" hii kitu nimekua ni kiifikiria kwa muda mrefu na kuiduscuss na watu wengi. I personally belive there some creatures, who are behind our underdevelopment....coz haingii akilini ni kwanini kwa muda mrefu bara la Afrika na Tanzania kwa ujumla haliendelei....I have been thinking about the good policy like Socialism and self-reliance...when you talk about socialism some puppets get sick, then forget about socialism let's discuss about Education for self-relience, the policy was amicable but to my surprise the Western Government did what they could to suppress it. Na kinacho nishangaza ni kuwa kwa kiasi kikubwa viongozi wa Afrika walisha wahi kutembelea nchi za Magharibi ama kusomea kule, cha ajabu wanaporudi nyumbani wanakuja na maisha binafsi ya raia wa kule na kuishi wao ila maendeleo na mikakati ya kupiga hatua za kimaendeleo kama za nchi walizo tembelea hawazifauati na ndio maana naunga mkono hoja kuwa kuna nchi za magharibi kwa garama zozote zili zinataka tusiendelee