Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unateswa na "inferiority complex!"
If wishes were horses, everybody could ride on!
Katika Historia ya mwanadamu hakuna ambaye hajawahi kupata machungu. Tukianza na wazee wetu walichukuliwa utumwani na waarabu na kuteswa vibaya, Wazungu wametutawala, n.k. Sasa tukifungwa na hizo Historia itatusaidia nini? After all mapinduzi matukufu ya Zanzibar yalifanywa na Wazanzibari wenyewe, lakini inaonesha kama vile wenye mawazo potofu kama ya kwako ni kwamba Nyerere alikuwa na mkono katika Mapinduzi hayo! Kama mtaendelea kuwa na mawazo kama hayo nawapeni pole sana!Inferiority complex kwa wewe ambaye hujapata machungu ya hili dubwana. Wenzio kuna wazee wetu wameuliwa, wamenajisiwa wameikimbia nchi na wengine wanasota magerezani.wengine mpaka mali zao zimechukuliwa, mpaka watani wao umekwapuliwa na Laanatullahi huyu
Ni binadamu lakini ukweli ndio huo, mnajiita "Wazanzibari" kwa sababu ya Muungano! Endeleeni kufumba macho na kumlaumu Nyerere kwa kila jambo lisipowaendea vizuri!Kwa sababu yake , kumbe huyu unamwona ndiye mungu wako ??? Laanatullah
Namba gani?Hivi namba huihesabu ?? hata hapo Lumumba wanaipata
Ni binadamu lakini ukweli ndio huo, mnajiita "Wazanzibari" kwa sababu ya Muungano! Endeleeni kufumba macho na kumlaumu Nyerere kwa kila jambo lisipowaendea vizuri!
Katika Historia ya mwanadamu hakuna ambaye hajawahi kupata machungu. Tukianza na wazee wetu walichukuliwa utumwani na waarabu na kuteswa vibaya, Wazungu wametutawala, n.k. Sasa tukifungwa na hizo Historia itatusaidia nini? After all mapinduzi matukufu ya Zanzibar yalifanywa na Wazanzibari wenyewe, lakini inaonesha kama vile wenye mawazo potofu kama ya kwako ni kwamba Nyerere alikuwa na mkono katika Mapinduzi hayo! Kama mtaendelea kuwa na mawazo kama hayo nawapeni pole sana!
USATaifa gani linateseka?
Ndugu kwako ww kwa hii copy uliyocopy iliyoandikwa wakati wa kikwete naona inamshutumu mwasisi wetu kuwa ni mkandamizaji na mfitini hayo, naona umeipenda na kuamua kuipost Nyerere hakuwa hivyo hata kidogo.
Kitu kingine nilichogundua kwenye hii post ni kwamba, mwandishi ni mtu wa visiwani na hapendi Muungano na ni mfitini na mdhandiki.
Mwandishi wa hiyo post anaona kama Zanzibar haina uhuru wa kuamua mambo yake,
Ongea kingine lakini kuhusu Nyerere Nyamaza ww mwana wa kizazi cha nyoka.
Katika Historia ya mwanadamu hakuna ambaye hajawahi kupata machungu. Tukianza na wazee wetu walichukuliwa utumwani na waarabu na kuteswa vibaya, Wazungu wametutawala, n.k. Sasa tukifungwa na hizo Historia itatusaidia nini? After all mapinduzi matukufu ya Zanzibar yalifanywa na Wazanzibari wenyewe, lakini inaonesha kama vile wenye mawazo potofu kama ya kwako ni kwamba Nyerere alikuwa na mkono katika Mapinduzi hayo! Kama mtaendelea kuwa na mawazo kama hayo nawapeni pole sana!

Huyu aliyesababisha ufisadi wa kufa mtu awamu ya nne mbona humsemi? Au kwa kuwa ni wa upande mwingine?Pole sana wewe mtoto wa pengo .Umesoma kwenye maskani ni nani Nyerere.??? Pole sana . Watu wamefungwa kwa kukutwa na dola 5 tu za kimarekani mfukoni. Mbeya watu wakibadilisha dhahabu kwa chumvi. Huko jela ndiyo usiseme .
Hata Wazanzibari wenyewe mbona wanakubali hilo? Ni wewe tu ufahamu wako uko short sighted!Mimi si mzanzibar lakini sikubaliani na hayo unayoyasema eti wanajiita wazanzibar kwa sababu ya muungano
Historia ni historia, iwe ya Kanisa au ya Msikiti! Kinachosumbua akili yako ni kwamba unataka uone Mtu wa DINI uliyopo wewe akiwa pale Magogoni tu basi, whether anaperform au anasafiri nje ya nchi kuliko anavyoenda kumtembelea mama yake kijijini na kusababisha ufisadi au la, wewe hilo halikusumbui! Wengine wakikalia kiti pale unaona hawafai simply kwa hawana imani kama ya kwako!Hizo historia za kanisa na nyerere wenu kaziongelee kanisani .watu wanateswa kwa mfumo wake dubwana lenu na wanaendelea kuteseka hata tanganyika.Hujamsikia Tundu lissu kaona kitu gani rumande??